Mapenzi sio pesa, roho inatosha

Mapenzi sio pesa, roho inatosha

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
10574397_828707227147944_7383566146342300064_n.jpg


Mapenzi yamtoa msichana wa kihindi katika familia ya kitajiri na
kumpeleka kijijini kwa kijana mwafrika Kenya......


TAZAMA PICHA:






140807105812_bukusu_darling__976x549_bbc_nocredit.jpg
Msichana huyu wa kihindi anaitwa Sarika Patel, na ameolewa na kijana wa kabila la Bukusu Timothy Khamala, jambo ambalo ni nadra sana kwa watu wa jamii ya kihindi. Kilichowashangaza wengi ni kwamba Sarika ametoka katika familia tajiri na kuamua kuishi maisha ya walalahoi kijijini



140807105306_bukusu_darling__976x549_bbc_nocredit.jpg
​
Kwa Sarika maisha ya umaskini ambayo Timothy anaishi sio kikwazo hata kidogo bali kwake hapo ndipo anapata raha na mapenzi ambayo anasema yamemridhisha na kumtuliza nyumbani kwa kijana Timothy.





140807105220_bukusu_darling__976x549_bbc_nocredit.jpg
​
Timothy alikuwa anafanya kazi nyumbani kwa kina Sarika kama mjakazi lakini akafutwa kazi na baba ya Sarika baada ya kupendana na msichana wake.Kwa sasa yeye ni tarishi katika ofisi hii ya jimbo.Sarika hana kazi

Mapenzi sio pesa, roho inatosha - BBC Swahili - Medianuai
 



140807105353_bukusu_darling__976x549_bbc_nocredit.jpg
Wawili hao sasa wapo katika pilka pilka za kuanza maisha mapya ila kwa pingamizi kali . Sarika Patel anasema kulingana na mila yao si sawa kuolewa na mtu asiyekubaliwa au kuchaguliwa na wazazi wako. Wachumba kwa kawaida hutoka jamii sawa.


​
Mb
140807105521_bukusu_darling__976x549_bbc_nocredit.jpg


Mbali na tofauti ya rangi zao za ngozi , Sarika anatoka katika familia tajiri kinyume na mumewe Timothy ambaye ni mlalahoi. Licha ya tofauti hiyo, Sarika anasema wazazi wake hawa ngeweza kumzuia kumpenda amtakaye







 
Mbona kama bibi huyo sarika yaan wahind wazuri ni wa kwenye video tu jamanii
 
Back
Top Bottom