Jaman wadau mimi nina braza wangu yani first born wetu ana mke na watoto wawili.
Sasa basi huyu wifi yangu hakwenda shule i mean hata herufi a haijui inatamkwaje.
Sasa basi tukija huku kwenye...
Hi! Guys mimi ni mtunzi wa story mbalimbali zinazohusu masuala ya mapenzi na maisha kwa ujumla!! Je mko tayari niporomoshe kitu cha uhakika?? Na je mtanipa support ya kutosha??
kwa yeyote anayewafahamu mabinti wa kisukuma naomba atiririke hapa, kuna rafiki yangu amempata binti wa kisuma yupo kwenye mpango wa kutaka kutangaza ndoa, sasa anafanya research juu ya tabia zao
Kumekuwa na mazoea ya kuona awe mwanaume au mwanamke mwezi anapochepuka anayeonekana anafanya makosa ni mtu anayechepuka naye badala ya mke, mume au mpenzi anayechepuka na mtu baki. Kosa hilo...
Hi iron lady,Heaven on Earth, Ole Saidimu na wana MMU wote, habari za weekend.
Kuna mdada nimefahamiana naye katika harakati za kupambana na maisha, binti ni mzuri kweli kwa sura, mrefu,maji ya...
Mimi nimekulia kijijini usukumani sijawahi kuona mwanamke mwenye kitambi.
Baada ya kuja hapa Dar nilishangaa sana kuona wanawake wenye vitambi.
Ikabidi nianze kufuatilia kwanini wanawake...
Ndugu wana jf kuna msichana nimetokea kumpenda nikamweleza hisia zangu akanambia nimpe wiki Moja afikilie na leo ndo Siku ya kunipa jibu Langu; tatzo tangu ash hapokei simu yangu na waliomtaka...
habari zenu wana JF? hakika hakuna jukwaa tamu kama hili,ukiwa JF unakuwa dunia nyingine on the other hand,jamani nataka ajitokeze mwanamke mrembo mwenye umri kuanzia miaka 18 hadi 35...
Habari za jumapili wanajamii forum,
Leo ngoja niwapashe wale wanaume wanaopendwa kulelewa,hivi inakuwaje mwanaume mzima umepasuka kifua au una six pacs na mwili mkubwa unalelewa?????
Yaani haka...
Nimejaribu kutafakari kuhusu gharama zinazotumika kukamilisha sherehe za harusi za vijana wengi wa kitanzania wanaotarajia kuingia kwenye taasisi ya ndoa.
Wengi wa vijana hao hawana kazi au...
jaman nmekuwa na tabia ya kufananisha tabia za mpenzi wangu wa kwanza na wengine ninaokutana nao na hilo lime
nimekuwa na tabia ya kufananisha tabia za mpenzi wangu wa kwanza na wengine...
Naitwa Mwl Kimambo nafundisha Moshi secondary nimekua nikipata tabu kweeli kwene suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga natamani kuoa Mwakani Akiwa...
mim nina miaka 24,nina ishi dar,ni mrefu kias,pia nimjasiriamali,natafuta msichana mwenye umr kuanzia miaka 18-25 awe ana ishi dar'.Tafadhal ni PM tupeane contact
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.