REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,966
Ukimwangalia mwangalie machoni na sio maziwa wakati mkizungumza.
Mkienda mahala kutulia vuta kiti akae halafu wewe ndo ukakae.
Mkitembea barabarani asiwe upande wa magari.
Anapenda ukimfungulia mlango wa gari.
Mpe zawadi kama chocolates,juice,kaua anapenda sio miboxi ya minguo,mijeans.
Cheka hata kama hakichekeshi.
Anapenda kuongea we msikilize.
Mpe vitu vya rangirangi yupo navyo by nature.
Always msifie yeye tu na mwambie wengine hawana ambacho kwake kipo.
Anapenda uwe smart.
Anapenda viatu,have nice shoes.
Jokes zisiwe too much,hapendi mtu anaongea hamalizi.
Anapenda,mawazo ,mapenz na utani kidogo.
Mletee vitu ambavyo hupendelea bila ye kukuagiza.
Muulize upo wapi,unaendeleaje hapo unamjali.
Usikorofishane naye akili zao unazijua.
p.::