Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
inaumiza sana tena sana unajitahidi kadri ya uwezo wako ufanikiwe lkn hakuna chochote ,miaka 32 sasa loo mafanikio cjui lini ukitazama wengi wenye umri huo wamepiga hatua jamani natafuta sumu nijinyonge nipeni aina ya sumu ntakayokunywa nife kimyakimya