CHARLES KIHOMBO
Member
- Feb 28, 2014
- 76
- 19
Licha ya mimi humu kuwa mgeni mgeni nimekuwa mtu wa kusoma mengi yaliyomo humu na kujifunza mengi katika mahusiano,Japo sina girlfriend nimeamua kuja hapa ili nipate mawazo ya wengi kwa kuwa mapenzi yapo kila kona.
Naomba ushauri wako hata maoni kwa kuwa natafuta mpenzi kwa sasa.
Je,mtu anayekupenda lazima akufanyie nini?
Kwa uzoefu wako unanishauri niwe na mwanamke mwenye sifa zipi?
Maana hapa mtaani kwetu kila mdada mzuri ila nashindwa kuchagua coz tabia zao zinafanana fanana.
NI HAYO TU!