TUJADILI: Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani mwongo

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari

TUJADILI KWA UPENDO MARAFIKI

Marafiki leo nimependa tujadiliane suala hili ambalo limeshawapata watu wengi
wengi wamekuwa wahanga wa jambo hili kwani wanalaghaiwa na kutapeliwa
kwa njia ya udanganyifu na mwishoe hujikuta wako wenyewe na wasiweze
kusaidiwa.

NAULIZA TU:

Je marafiki nani kati ya WANAUME ama WANAWAKE ni waongo waliopindukia
hususani katika mambo ya NDOA , Urafiki na Ukaribu yaani undugu

Karibuni tujadili kwa kuheshimiana bila kutupiana lawama hapa tunataka
kujua nani kwa 90% wanaongoza KUDANGANYA

Wasalaam

Ladyf
 
wee lady F, wanawke wanadanganya kwa maumbile yao ili kutufanya wanaume tuamini wako hivyo ,wanaume wanadanganya kwa maneno...kwa hiyo wote sawa inategemea wewe umedanganywa na nani...
cc:Heaven on Earth...
 
lazima uwongo ulalie upande mmoja zaidi ya mwingine ndo maana nasema nani kati ya me na ke ni mwongo kupindukia?
wee lady F, wanawke wanadanganya kwa maumbile yao ili kutufanya wanaume tuamini wako hivyo ,wanaume wanadanganya kwa maneno...kwa hiyo wote sawa inategemea wewe umedanganywa na nani...
cc:Heaven on Earth...
 
lies.jpg
 
ni kweli mkuu kwani uongo huvunja mahusiano na huleta kutokuaminiana, heshima hupungua pia ndani ya ndoa
Uongo? Hakuna kitu kizuri kama kusema uongo kwenye mapenzi!
 
wanaume waongo jaman daaa basi tu muda mwingine unampimia tu unatafakari umfanye nini basi tu unamhurumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom