Zumbe Kimweru
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 340
- 28
Wakuu, habarini mimi ,wadau napenda kuwashirikisha vitu kadhaa ambavyo nimekuwa nikifanyia utafiti kuna baadhi ya watu walikuja na 6c na vitu kibao vyenye mrengo huo hapa jukwaani.
wanaume wengi huwa wakiulizwa unapenda mke hubabaika na kushindwa kutoa jibu la moja kwa moja kimsingi hii hutokana na kutoamiana na kukidhiri kwa michepuko.
Nirudi kwenye hoja hapo wakuu.
KItanda au Kitandani Moja kati ya sehemu muhimu kwenye ndoa ni kitandani, uimara wa ndoa huanzia hapo, mipango kati ya mume na mke huanzia , tendo lenyewe la ndoa ndio sehemu mahususi .
Lakini nisemapo kitanda naamanisha elimu ya tendo la ndoa vilevile naamanisha eneo muhimu ambalo wanandoa waweza kurekebisha ,na pia kuimarisha ndoa kwa kushauriana ,kupanga mipango mbalimbali ya kifamilia juu ya ndoa.
Ni muhimu wanandoa kufanya mashauriano mnapokuwa kitandani huongeza tija ya mazungumzo yenu badala ya kuwa na muda mrefu wa kudhurula.
Ieleweke vema kwamba mashuka yenye jumbe mbalimbali huweza kuonyesha hisia na mvuto wa penzi hasa wakati wa mikwaruzano ama furaha na kukumbusha wapi mlikotoka wapi mnakoelekea.
Wikiendi njema wakuu