Umuhimu wa marashi ya kimahaba kwa wanawake

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,968
Unajua mapenzi ni sanaa, basi inatakiwa kuwa mbunifu.

Inajua moja ya vitu vinavyo wavutia wanaume kwa wanawake ni marashi ya kimahaba.

Kuna aina ya marashi mwanamke akipiga lazima mwanaume asisimke.

Wanawake walio wengi wanapiga perfume kali kiasi cha kupiga chafya. Hupoteza radha ya mambo.

Kuna marashi ya asili mdada akipulizia au kuchoma ndani lazima mwanaume aingie kingi.

Ukute mtoto anatabasamu la ukweli aiseeeee. Lazima mwanaume hatakuwa mbali na michepuko kupungua kwa 50%

Ni hayo tu.
 
Nimekupa like uliposema chafya...maana mimi ni mmoja wa watu ambae sipendi kukaa karibu na mtu aliyepulizia perfume unless iwe inaeleweka...

Sasa ulipoongelea hizo za kufukiza ...hapo nakataa...kwa wenye allergy udi ni chafya kwenda mbele...siwezi kabisa kuvumilia kitu chochote cha kufukiza...

Ndio maana napenda perfumes za kiume...nyingine zinanukia kama ndimu si ndimu...unatamani kuendelea kunusa tuuuu...
 
Afu kuna watu hawajuhi wapi pa kupulizia perfume...

Kuna sehemu ukipiga perfume unaonekana sooo cheap...perfume ina mahala pake...

Wewe chunguza mahali ambapo watu wanakutana kuongelea serious matters huwezi kuta hata mmoja ananukia...
 
kuna aina Fulani ya wanawake 'harufu yake original ya k ni tamu hatari.....sio wote very few

Yeah, kwa asili kila mwanamke huwa na harufu yake yw kinahaba, ila hawa ni wachache sana, harufu hii hupoteza uhalisia wake pale bidada anapoamua kuchanganya midume kunachangia uhalisi wa harufu tamu ya kikekike kupotea,tuliobahatika kukata tepe za uke tunalijua hili.
 
Unajua mapenzi ni sanaa, basi inatakiwa kuwa mbunifu.

Inajua moja ya vitu vinavyo wavutia wanaume kwa wanawake ni marashi ya kimahaba.

Kuna aina ya marashi mwanamke akipiga lazima mwanaume asisimke.

Wanawake walio wengi wanapiga perfume kali kiasi cha kupiga chafya. Hupoteza radha ya mambo.

Kuna marashi ya asili mdada akipulizia au kuchoma ndani lazima mwanaume aingie kingi.

Ukute mtoto anatabasamu la ukweli aiseeeee. Lazima mwanaume hatakuwa mbali na michepuko kupungua kwa 50%

Ni hayo tu.

Mkuu, kulikoni? Now days umepatwa na maswaibu gani? Nakumbuka few month's ago ulikuwa unakesha na kupiga kambi kule jukwaa la siasa kwa kuwatetea CCM from morning till down. Ila siku za hapa karibuni naona umebadilika na unashinda kwenye majukwaa mengine na kuanzisha topic.

Je, kulikoni? CCM huitaki tena? Maana na kumbuka pamba zako ulizokuwa unazimwaga kipindi Kile hadi nikahisi kuwa wewe ni mgonjwa wa akili. Hongera kama umejitambua.
 
Hili ni jukwaaa la MMU au wewe ni mgeni au wewe ni pungu 1. Huwezi kunichagulia cha kifanya.
 
Back
Top Bottom