Wadada kama unaenda kwa mpenzi usijipake lipstick

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Jamani wadada ukijijua kabisa kuwa unaenda kwa mpenzi, acha kupaka basi haya marangi yenu basi mnayoita Lipstick sijui mekundu.
Unajua kabisa mpenzi atataka kubusu kiaina au kubusu kiundani kabisa.

We hujiulizi unaenda umepaka halafu akikubusu yanaondoka mdomo unabaki mweupe, yanaenda wapi sasa kama sio mwanaume kayameza.
Mtatusababishia kansa wajameni, kwenye maelekezo pale mdada hujaambiwa kuyapaka ili boy wako ayameze bwana.

Mwee ila mengine huwa matamu kweli, Kama ya blackbery sijui Strawberry, mengine ya Apple.

Hayo matamu hata mi nayapenda
 
Mie bebe wangu anapenda nkipaka lipstic nyekundu.... anajiskia raha sana tukifikia kale kakipengele kakukulana mate uku mdomon kuna lipstic
 
Hahahah
 
10519228_664281633664164_8279297616298462329_n.jpg
 
Kwa nini usimwambie tu huyo mpenzi wako unakuja kumsemea huku.
 
JAMANI Wadada.....Ukijijua kabisa kuwa unaenda kwa mpenzi....acha kupaka basi haya marangi yenu basi mnayoita Lipstick sijui....mekunduuuu.....Unajua kabisa mpenzi atataka kubusu kiaina au kubusu kiundani kabisa......
We hujiulizi unaenda umepaka halafu akikubusu yanaondoka mdomo unabaki mweupe...yanaenda wapi sasa kama sio mwanaume kayameza....aaaargh. Tyuuuuuuuu.
Mtatusababishia kansa wajameni....Kwenye maelekezo pale mdada hujaambiwa kuyapaka ili boy wako ayameze bwanaaaa....

**Mwee ila mengine huwa matamu kweli. Kama ya blackbery sijui Strawberry...mengine ya Apple. Hayo matamu hata mi nayapenda

kumbe boy na garl
 
Lol! Pole kwa yaliyokukuta, ila mbona maelezo yako yanakinzana kiaina!! Mara waache, mara matamu! Wafanye kipi? Unawachanganya!! Ila wamekupata kwenye TITLE yako!
 
Sasa mbona kama unapenda ladha zake?Kwa hiyo tuendelee kupaka ama tuache?
 
Jamani wadada ukijijua kabisa kuwa unaenda kwa mpenzi, acha kupaka basi haya marangi yenu basi mnayoita Lipstick sijui mekundu.
Unajua kabisa mpenzi atataka kubusu kiaina au kubusu kiundani kabisa.

We hujiulizi unaenda umepaka halafu akikubusu yanaondoka mdomo unabaki mweupe, yanaenda wapi sasa kama sio mwanaume kayameza.
Mtatusababishia kansa wajameni, kwenye maelekezo pale mdada hujaambiwa kuyapaka ili boy wako ayameze bwana.

Mwee ila mengine huwa matamu kweli, Kama ya blackbery sijui Strawberry, mengine ya Apple.

Hayo matamu hata mi nayapenda

we jamaa ka nakufahamu ivi.....heheheheh
 
Mie bebe wangu anapenda nkipaka lipstic nyekundu.... anajiskia raha sana tukifikia kale kakipengele kakukulana mate uku mdomon kuna lipstic

kwa style hii hata kama sipendi kukuquote inanilazimu tu..
 
Back
Top Bottom