Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku hizi ndoa hadi mimba, mimba ndo kigezo cha kuoana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NgomaNzito, Aug 13, 2009.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hili nimelishuhudia hivi karibuni kila harusi nayohudhuria zaidi ya tatu Bibi harusi tumbo ndi tena kuubwa.

  Au huu ni utaratibu mpya hadi uhakikishe kitu kimenasa ndio utangaze ndoa dunia ya leo uongo umezidi??
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha!Ha!Ha!.....vinginevyo unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na wengine si kwamba waliamua kutest mashine kwanza, wengine wanalazimika kuoana kwa sababu ya mimba !!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndo maana iwa nasema wengi hucheza kama bahati na sibu lazima amege/megwa kwanza na kinacho fuata je unakamata mimba?
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hii nasikia sana mashori wanawategea sana ma BF zao hasa wakijua wana compitation na mashori wengine.....
   
 6. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nafikiri ni utaratibu mzuri huo, maana siku hizi watu wanabuma wanakaa miaka mingi bila kupata watoto kinachotokea inakwua ni uvomvi usiokuwa na kichwa wala miguu. Hata mie nikitaka kuolewa lazima kwanza anipe mimba walau niende nina assurance.

  Its good idea.
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sorry Carol,

  Kwani wewe bado kupata mwenza? au was just to support the idea behind?
   
 8. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siku hizi uwezo wa kuzaa au kusababisha mtoto umeshuka sana. Kwahiyo lazima kuhakikisha kwamba ulie nae yupo fit. Tena wengine wanaamua kuzaa kabisa then ije ndoa. Maana unafunga nae ndoa akiwa mja mzito mnaingia ndani eti imeharibika. arghhhhhhhhhhh!!!!!!
   
 9. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,809
  Likes Received: 2,513
  Trophy Points: 280
  Shake well before use and keep away from children
   
 10. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sawasawa kabisa!
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tatizo mabinti wa leo ABORTION ZIMEKUWA MINGI na zimewapelekea kuwa barrens.watoto wa kiume wa sasa lazima watest zali kwa hali na mali ndipo kwenu wake watoe mahali ili iwe halali,then kuserebuka mambo ya hululation LELELELELELELELELELELLEEEEEE! yanafuata.kinyume na hilo hapana bana!
   
 12. GP

  GP JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hata mi mwenyewe nikimzimia demu mkali sana, halafu naona analeta longolongo yani bado hajaamua vizuri nimuweke ndani, au wazazi wake wanaleta miyeyusho, dawa moja tu: NAMTUNDIKA MIMBA!
  kwishney.
   
 13. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,994
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  WARNING

  MATAYO 5:28-30

  28 Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.


  29 Basi, kama jicho lako la kulia linakukosesha, ling'oe ukalitupe mbali. Afadhali zaidi kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote kutupwa katika moto wa Jehanamu.


  30 Na kama mkono wako wa kulia unakukosesha, ukate ukautupe mbali. Afadhali zaidi kupoteza kiungo kimoja cha mwili, kuliko mwili wako wote uende katika moto wa Jehanamu.

   
 14. r

  rafikiel nelson New Member

  #14
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio swla zima hauwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia ucje ukapewa kuku
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Aug 13, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na wewe bana na hii elimu yako ya bongo flava! Sasa hiyo maana yake ndio nini?
   
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. Hapa ndo wanaume tunadanyanyika..eti nina mimba yako tayari! Unamchukua unafunga nae arusi! Kumbe wapi..mtoto anazaliwa wa jamaa mwingine!!

  2. Utajuaje kama mimba demu wako aliyobeba ni yako???
   
 17. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Utajua tu. Akijitia kukupenda kuliko ilivyokawaida yake ujue kuna kitu tu hapo. Piga chini!
   
 18. MrVHMM

  MrVHMM New Member

  #18
  Aug 13, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli mtupu mheshimiwa ............... Ujenzi hufunguliwa rasmi kwa kuwekwa jiwe la msingi; lakini si utaratibu wa Biblia.
   
 19. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kibongoto,

  Nimeshuhudia mwenyewe..kwa rafiki zangu kama watatu..watoto wao kwa kwanza sii wao..na wake zao waliolewa ktk mazingira ya kubeba kwanza mimba!

  Wanaume yabidi tuwe makini..wanawake wamebadilika sana siku hizi.. cheating babu kubwa siku hizi!
   
 20. Kidege

  Kidege Member

  #20
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 18, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukinunua kiatu dukani si lazima ujaribishe kwanza!
   
  Last edited: Aug 13, 2009
Loading...