Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
William Shakespeare aliwahi kusema kwamba "Nililia sana nilipokuwa sina Viatu lakini nilinyamaza baada ya kukuta Mtu hana Miguu" Hivyo ndivyo ilivyo hata leo hii...Unaweza kumsimulia Mtu kitabu...
12 Reactions
15 Replies
979 Views
Habarini wanajf wakubwa na vijana,itifaki imezingatiwa Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada: Nimeamini kwamba mtu kuwa na pesa sio:- -kupendwa -kuwa na furaha -kutokuwa na msongo wa mawazo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Haya mambo ya miaka hii yanatisha, wasiwasi wa kifo unazidi kutanda vijana wa zama zetu. Ni ngumu kutoboa miaka 50 sababu ya corona, malaria, kansa, STD'S, upungufu wa nguvu za kiume, umaskini...
14 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE. Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
1.Kila zama huja na jambo lake lepesi usipolifanya basi kesho utalifanya likiwa ghari zaidi. 2.Bahati inaweza kurudi mara ya pili lakini inaweza kukuta haupo kwenye mazingira rahisi kama...
16 Reactions
20 Replies
1K Views
Uzi tayari! Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni? Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
9 Reactions
211 Replies
16K Views
Wale wenye experience, kuna changamoto gani kuoa mke ambae hana kazi wakuuu. Mfano wewe mwanaume unakazi umeajiriwa alafu mke ana elimu yako cheti mfano but kwa fani aliosomea hawezi kuajirika...
1 Reactions
83 Replies
15K Views
Kutokana na janga kubwa la mahusiano ya kimapenzi kupoteza uhalisia wake wa asili, nipo hapa kutoa ufafanuzi pamoja na utatuzi juu ya jambo hili. Swali lako au jambo lako litatolewa majibu na mimi...
2 Reactions
64 Replies
7K Views
Mimi nina msichana ambaye alitoka kwenye mahusiano ya zamani na kuanzisha mahusiano na mimi mapya ila msichana wangu huyu siku moja aliniambia kuwa anaomba nauli ili aende akamchane live ex wake...
1 Reactions
93 Replies
8K Views
Mpo Salama! Kumhudumia Mchumba au mpenzi wako huwezi Sifiwa Wala kuonekana mwanaume wa maana mahali popote pale zaidi ya kuonekana kijana asiyejitambua. Wazazi wako wenyewe waliokuzaa wakisikia...
23 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu habari ya kazi, Jana nilikuwa naongea na dada mmoja kashaachana na mumewe akasema nimemvumilia sana mume wangu, ukorofi, uzinzi, kelele, kilichomkwaza ni kumtangaza kwa watu kuwa eti mke...
5 Reactions
102 Replies
10K Views
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute. Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana. Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka...
34 Reactions
524 Replies
23K Views
Wakuu,naamini mko salama kabisa,wenye kuumwa basi poleni na Mungu awape ahueni ya maradhi yenu. Issue yangu iko hivi,nina tabia ya kukinai wanawake, naweza nikatumia gharama kubwa za muda na fedha...
17 Reactions
124 Replies
5K Views
Yes, nimejaribu kuwa mvumilivu nimeshindwa, japo kuna watu watanichukulia tofauti humu, i dont care! Ndio mkondo niliochukua. Huyu baba (kaka) ni civilized sana, hana maneno, msiri mnoo, yaani ni...
63 Reactions
544 Replies
33K Views
Wale watu wabaya wasiokuwa na mvuto hata ukimuangalia hapendezi machoni, sura mbaya wapo wapo tu lakini wanakuwaga wanaringa hao utasema wanamiliki dunia kumbe hamna kitu 😂😂 mvuto hawana pesa...
6 Reactions
54 Replies
7K Views
Wanaume tukiwa hatuna hela tunakua na mapenzi ya dhati sana. Kwa ujumla watu masikini ndio wana mapenzi ya dhati kuliko wenye pesa. Ukiwa huna hela unakua faithful sana na hata nyumbani unarudi...
14 Reactions
171 Replies
16K Views
just imagine. umefahamiana na mwanamke kumbe ameshakufanyia tathmini kwa haraka ameona na usafiri wako ndani ya siku mbili tu anakwambia ana shida na 200,000 amepata dharura. huu ujasiri wa dada...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Huwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi... Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena...
12 Reactions
194 Replies
19K Views
1. Kinywa - mwanamke akiwa na kinywa kisafi utapenda kumsogelea kumkiss na you feel love and romance all the time. Asiwe na BAD BREATH- kutokwa na harufu mdomoni. Aina hii ya mwanamke sitoweza...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom