Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwaka juzi nlipata changamoto kidogo kwenye usafiri.gari moja nliuza nyingine ikawa imepata tatizo ikabidi kuagiza spare nje so ikawa garage tu inasubiri spare. Basi nikawa napanda daladala...
125 Reactions
200 Replies
29K Views
Wazee hasa wa mjini daslamu hebu mnisaidie....huyu mwanamke nimemuona yuko hapo ubungo plaza ground floor kwenye bank moja inaitwa sijui akiba au DCB(kama nimekosea mtanirekebisha)... Huyu...
13 Reactions
152 Replies
14K Views
Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw. Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume...
8 Reactions
85 Replies
3K Views
Jamani, wakati tukisheherekea muungano wetu nimeona fb nikakutana na huyu mwanamke (nimeweka picha 6). Yaani nilistuka sana. Inakuwaje ewe mwanaume unamruhusu amiliki simu,tena smart phone mpaka...
3 Reactions
72 Replies
14K Views
Habari gani mwanajamvivletu pendwa la MMU. Kimsingi MMU ndio Jamvi linalopata engagement ya kitosha ukilinganisha na majukwaa mengine. Hebu twende kwenye maada, Namzungumzia mshikaji wangu...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu, juzi kati tulitoka kiofisi kwenda Mkoa mmoja hivi, kufanya project moja iliyodhaminiwa na Watu wa nje. Ofisini tulitoka watu kama Watatu, na hiyo kazi ilikuwa inahitaji watu wengi kidogo...
6 Reactions
55 Replies
10K Views
Mara ya kwanza niliposikia Mzee Gurumo wa Msondo Ngoma anadai ameimba zaidi ya miaka 50 na maisha yake bado ya 'kimaskini mno' niliona kuna kitu hakiko sawa... sikuwa na ushahidi tu lakini...
61 Reactions
377 Replies
27K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu na wanajamvi la Hoja mchanganyiko? Nitaomba radhi kwa yule nitamkwaza ila acha niliweke hili swala hapa jukwaani tulijadili. Mimi nimebahatika kulelewa na wazazi...
17 Reactions
317 Replies
30K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu , hivi unafanyaje kumuacha mwanamke ambaye amekuganda anatoa hadi kauli anaweza kujinyonga kwaajili yangu , ukizingatia mimi nina moyo wa huruma siwezi...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Yaani mwezi uliopita nimepigwa na Mshangao mkubwa Sana. Iko hivi kipindi nasoma chuo flani hapa Dar, nilikuwa na Jamaa yangu (Tuseme anaitwa JAMES), lakini pia darasani kulikuwa na demu mmoja hivi...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Wadau naombeni ushauri kwa hili jambo mana mara nyingi mimi nimeonekana kuwa ni mwanaume bahiri kuwahi kutokea, kila nikipata mpenzi ananikimbia eti kisa simhudumii lakini kwa upande wangu...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu. Hapa naenda moja kwa moja kwenye mada husika. Nihusishe na kichwa cha habari hapo juu. Katika mambo ya vijana kuoa, wengi wetu huwa hatujawa stable kwenye suala la...
3 Reactions
3 Replies
451 Views
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi...
1 Reactions
8 Replies
667 Views
nlikutana na huyu dada mzuri wa kisasa.. tukawa marafiki tunawasiliana na kusaidiana kwa shida ndogo ndogo sababu nlimwona ni dada mwelewa flan hivi na mwenye kupenda maendeleo. basi siku moja...
9 Reactions
101 Replies
8K Views
Ndg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Wachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii. Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa. Kama wewe unahitaji kutatuliwa...
15 Reactions
135 Replies
12K Views
Jana nilitembelewa na dada yangu, kwa kuwa ni mpenzi wa vinywaji ikabidi tutoke nyumbani twende sehemu yenye hiyo huduma, tukafika kwenye mgahawa moja tulivu uliopo maeneo ya Tabata. Kufika pale...
27 Reactions
143 Replies
19K Views
Aisee hawa wanawake ni hatari. Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa...
86 Reactions
240 Replies
13K Views
Poleni sana mliofiwa ,,,........ Ok ngoja niingie moja kwa moja kwa mada Kuna rafiki yngu ameniomba nimpe mbinu za kivita za kuwavutia wasichana . Ok mabaharia toeni mbinu hzo jamani. Tubadirshne...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini...
9 Reactions
64 Replies
3K Views
Back
Top Bottom