Msichana wangu kanisaliti, nifanyaje?

Msichana wangu kanisaliti, nifanyaje?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
128
Reaction score
98
Mimi nina msichana ambaye alitoka kwenye mahusiano ya zamani na kuanzisha mahusiano na mimi mapya ila msichana wangu huyu siku moja aliniambia kuwa anaomba nauli ili aende akamchane live ex wake kuwa aachane nae ili asiendelee kumsumbua.

Basi nikampa nauli akaenda kwa ex wake huyo ila cha ajabu huyu msichana akaja kuniomba msamaha kuwa baada ya kufika kwa ex wake huyo shetani alimpitia akasex nae bila kutegemea, kwa kuwa huyo ex wake alimlazimisha kufanya nae mapenzi na mpaka sasa huyo ex wake ameshaachana nae rasmi baada ya kumwambia kuwa ana mpenzi mpya ambaye ni mimi.

JE HUYU MSICHANA ANANIFAA AU HANIFAI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dame anakuomba nauli aende kwa BF wake (ati wa zamani). Baadae anarudi na kukwambia umsamehe kwani alimegwa tena na tena alipofika kule. Kwa ututusa wako, unakuja JF kuomba ushauri.

Mwambie akupe namba ya huyo jamaa na umpigie kumuuliza kama ataacha kumfuatilia tena dame wako
 
We jamaa bhana.. Samahani, nimejikuta nimekuteremshia matusi makubwa kubwa...
 
Back
Top Bottom