Awe na hela ya kujimu mahitaji yangu Bali Mimi I will be a submissive wife
Nina miaka 22 Mimi ni mwana mitindo natoka Kenya ninahitaji mapenzi ya kweli nanipo serious
Kama Kuna yoyote anaitaji...
Pigo moja la moyo hujaza korodani kwa sperms 1,800 (elfu moja na mia nane), mwanaume asipokuwa na kitu cha kufanya kuna uwezekano mkubwa wa kuanza kufikiria sex maana kila pigo linajaza mbegu...
Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada.
Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto...
Wakuu nahisi msichana niliye wahi kuwa naye kwenye mahusiano then nikamuacha kuna michezo ya kiswahili kanifanyia.
Kwani baada ya kumuacha alinilaani Sana na aliniambia nitamkumbuka
Sasa mambo...
Nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado.
Mwaka jana...
Nawasalimu ndugu zangu
Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho
Nawashukuru wadau walichangia...
Mimi ni mtu mzima miaka 30 nina mke wa miaka 25 nina watoto 2 katika ndoa ya miaka 6 mpaka sasa.
Ndugu zanguni nina hasira nina hasira nina hasira sana Mungu tu anisimamie nisingie dhambini.
Kwa...
Ndugu nimejaribu mara kadhaa kutaka kununua dada poa ila kila nikisogea buchani kununua nyama najikuta nimeghairi.
Sijui ni hofu au ni nini ila ghafla nasahau kabisa nilichokusudia kununua, ndugu...
Tuangalie mambo ambayo ni ya kweli ila yanapindishwa ili tu kupata faraja na huruma Kwa baadhi ya watu.
1.Dini ,manabii ,wachungaji na masheikh.
Hawa kuna namna wameushikilia ulimwengu,licha ya...
Katika maisha kosea vyote ila usikosee kuoa , ukikosea kidogo mtu sahihi wa kumuoa basi umejiangamiza wewe mwenyewe, uzao wako na mali zako.
Katika wanawake wanaopaswa kuepukwa kwa haraka sana...
Wakuu heshima kwenu.
Maisha yetu ya kazi yamejaa visa na mambo mengi sana...
Sikuwahi kudhani kama ningekuja kumwadhibu mwanamke kwa kumpiga in my life, lakini imetokea na mbaya zaidi huyu dada...
Wakuu sasa hivi ndoa umekuwa mchezo wa kuigiza .
Yule Kijana Aba OG ambaye alikuwa akiikaa Kama mwanamke na kufanya mambo ya kike hatimaye na yeye Kaoa ...
Wakuu kwema?
Niende direct kuna member humu JF anaitwa mamdenyi nimetokea kumpenda sana nimekufa nimeoza wakuu. Ana hekima, busara, mpole, mtaratibu hana makuu.
Naimani hajaolewa naomba mimi...
Kuna wanawake kutoka baadhi ya jamii hasa makabila flani nisingependa kuyataja japo sio wote wana hii pattern mbovu
Mwanaume utatumika kumpa hadhi ya kuolewa na kumzalisha tu
Baada ya hapo...
Nna mpenzi wangu ambaye nimedum nae kwa mda wa miaka mitano hadi sasa,na malengo yangu ilikuwa nimuoe mwakani kama mungu angependa.na nakiri kuwa tunapendana sana,sasa kisa chenyewe ni hv.Mimi...
Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi.
Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila...
Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.