Pesa sio kila kitu

Pesa sio kila kitu

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,007
Reaction score
1,600
Habarini wanajf wakubwa na vijana,itifaki imezingatiwa
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada:
Nimeamini kwamba mtu kuwa na pesa sio:-
-kupendwa
-kuwa na furaha
-kutokuwa na msongo wa mawazo.
Niligundua hata uwe na pesa kiasi gani hapa lazima ukae tu kwenye:-
Mapenzi
Furaha
Mawazo.

Jamani vijana wenzangu tutafute pesa japo tupunguze ubahili .
FB_IMG_16145270432087480.jpg
 
Habarini wanajf wakubwa na vijana,itifaki imezingatiwa
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada:
Nimeamini kwamba mtu kuwa na pesa sio:-
-kupendwa
-kuwa na furaha
-kutokuwa na msongo wa mawazo.
Niligundua hata uwe na pesa kiasi gani hapa lazima ukae tu kwenye:-
Mapenzi
Furaha
Mawazo.

Jamani vijana wenzangu tutafute pesa japo tupunguze ubahili .View attachment 1715737
HAKIKISHA UNAZO ZA KUTOSHA KWANZA KABLA YA KUSEMA PESA SIO KILA KITU.
 
Hiyo picha sijui screen shot inahusiana Nini na hela?

Bora ungeweka noti ya elfu Tano...tujue inapicha ya mnyama au ndege au Mfalme wa nchi za kiarabu
 
Back
Top Bottom