Haya ni Maeneo Nyeti sana kwa Mwanamke. Yakipatiwa Burudani yake ngumu kuelezea

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
1. Kinywa - mwanamke akiwa na kinywa kisafi utapenda kumsogelea kumkiss na you feel love and romance all the time. Asiwe na BAD BREATH- kutokwa na harufu mdomoni. Aina hii ya mwanamke sitoweza kabisa kuwa naye karibu. Nakushauri mdada tunza mdomo wako sugua meno na ulimi hadi kooni. Ondoa meno mabovu. Hakikisha pia unakula matunda na juice au mbogamboga ili uende choo.maana harufu nyingine mbaya hutokea tumboni hasa kwa wale watu ambao hawaendi choo regularly.

2. Sehemu za siri hasa hasa UCHI. tunza uchi wako usiweke au ingiza vitu ambavyo havikuumbwa kuingia humo. Huko kuna harufu yake ya asili tamu na ya kuvutia.nyingine huwa za kukera na zisizovaa.sehemu hii inapaswa kuwa kavu mpaka itakapotakiwa kuwa na unyevu. Isiwe na harufu nyingine yoyote zaidi ya harufu yake ya asili safi.HAKUNA EXCUSE YA KUNUKA UCHI. Mimi napokutana na mwanamke wa hivi naahirisha game.kama ni wangu ntamtaka tushughulikie tatizo ntatoa pesa haina shida.sisi wengine kuingia chumvini ni process ndefu sana. Mpaka TBS wathibitishe kuwa K hii inafaa kuliwa.

3. Kwapa - kumekuwa na wanawake wanaonuka kwapa. Huyu mwanamke wa hivi binafsi ananikata stimu ya mapenzi...hapaswi mwanamke kunuka kwapa kabisa by any excuse. Ukitunza vizuri sehemu hii ntakukumbatia muda wote na kukukiss bila shida.

Nmezungumzia wanawake sababu ndo ninao date so nakutana nao kwenye matukio. Wao watazungumzia wanaume kama beberu nao wapo.
 
Viumbe ambavyo havijulikani vinataka nini kwenye hii dunia..very complex.
 
Wanawake wanaotangaziwa ndoa ni wale wanaozingatia vitu vidogovidogo kama hivi.
 
Ila tambua pia binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Speaking about harufu asili ya uke... ni safi na vizuri sana...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom