Wanaume, tuwapunguzie watoto wakike maumivu.Nao wana moyo

Boeing 747

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
3,510
9,341
Huwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi...

Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena attention ya kutosha..
Kumbuka ulipomtongoza, pengine alimuacha jamaa yake anayempenda akaja kwako, kisa ulikuwa na swaga za kishua na za kibabe.

Please men, tusiwe kama DAVIE hapa..
Hawa watoto wazuri nao wana mioyo ya nyama..
Machozi yao yatakuwa laana kwetu, halafu tutateseka..

Nawapenda sana wanawake..
FB_IMG_1565454199279.jpeg
 
Hakuna tena campaign baada ya matokeo ya uchaguzi,ukiielewa hiyo haitakusumbua mkuu
Huwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi...

Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena attention ya kutosha..
Kumbuka ulipomtongoza, pengine alimuacha jamaa yake anayempenda akaja kwako, kisa ulikuwa na swaga za kishua na za kibabe.

Please men, tusiwe kama DAVIE hapa..
Hawa watoto wazuri nao wana mioyo ya nyama..
Machozi yao yatakuwa laana kwetu, halafu tutateseka..

Nawapenda sana wanawake..
View attachment 1177856
 
Duuuuu uwo ni ukauzu zaidi ya dagaaaa
 
Kwa experience niliyonayo mwanamke unayempenda saana anakuchukulia kawaida..... utampenda weee hata kuambiwa unapendwa analazimisha.

Sijui kwanini labda mzoefu RRONDO atatusaidia kama naye alishaona hivyo.
Huwa inakuwa hivyo sijui kwa nini...
Ila mtoto wa kike akikupenda, aisee mpende tu...atakupa vitu ambavyo huwahi kuwaza...
 
Kwa experience niliyonayo mwanamke unayempenda saana anakuchukulia kawaida..... utampenda weee hata kuambiwa unapendwa analazimisha.

Sijui kwanini labda mzoefu RRONDO atatusaidia kama naye alishaona hivyo.
Sasa hapo maana yake si moja tu, HUPENDWI. Kuendelea kulazimisha ni tatizo lako.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom