Uliza jambo lolote kuhusu mapenzi na mahusiano

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
8,413
12,328
Kutokana na janga kubwa la mahusiano ya kimapenzi kupoteza uhalisia wake wa asili, nipo hapa kutoa ufafanuzi pamoja na utatuzi juu ya jambo hili. Swali lako au jambo lako litatolewa majibu na mimi pamoja na any of knowledgeable JF member.

Karibuni jamvini.
 
Mwenye ugonjwa wa chango,muwasho sehemu za siri,anaweza beba mimba?(2)mwanamme ,mwenye amiba,bawasiri,anaweza kutungisha mimba?
 
Ni halali Mke na mume kuweka kila senti wanayopata mezani na kuipangia? Si ni mwili mmoja?
 
Kwa mfano unaishi na dem hawara kwao hawajui sasa ukagundua hamuwezani ukamwambia muachane kwa amani yeye akanywa sumu ukamkimbiza hospital akapona na akasisitiza kuwa ukimwacha atajiua utakuta maiti ndani na ki ukweli wewe ushajua huyo demu ni bomu hafai kuwa mke na hujazaa nae na hujachuma nae Mali mmepenga chumba uswahilini hebu nambie utajitoaje kwenye hiyo ndoa ya kihuni
 
Mi naomba nidandie gari kwa mbele...
Kwa situation kama hizo ni simple sana. Inabidi ucheze na akili ya huyo mwanamke. Kaa naye chini. Muhesabie yote usiyotaka kuyaona kwake. Mpe choice ya either ataacha hizo tabia ili muwe naye au kama hayupo tayari asepe tu.
Najua atakalochagua ni kubadilika. Muache ajicommit yeye mwenyewe kuwa siku akifanya ujinga wake kutakuwa hakuna mjadala tena.
Ofcourse siku atakayorudia wewe utakuwa huna la kuongea.
Kinachomfanya kunywa sumu na kupanick ni mshtuko na hasira. Hivyo ukimjengea kuwa akifanya jambo fulani utamuacha maana yake utakuwa umemjenga kisaikolojia.
 
Yaani umegundua huyo jike hafai kuwa mke na huna mpango wa kuendelea nae, unataka uachane nae kabla hamjaingia majukumu ya kulea watoto. Unajitoaje hapo?
 
Kwa mfano unaishi na dem hawara kwao hawajui sasa ukagundua hamuwezani ukamwambia muachane kwa amani yeye akanywa sumu ukamkimbiza hospital akapona na akasisitiza kuwa ukimwacha atajiua utakuta maiti ndani na ki ukweli wewe ushajua huyo demu ni bomu hafai kuwa mke na hujazaa nae na hujachuma nae Mali mmepenga chumba uswahilini hebu nambie utajitoaje kwenye hiyo ndoa ya kihuni
Kosa la kwanza ni kuishi Na mtoto Wa watu bila wazazi kujua,pili ikiwa una mpenda Na ameonyesha kwa kiasi hicho upendo wake ya nini umuache?labda kama kuna lingine.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yaani umegundua huyo jike hafai kuwa mke na huna mpango wa kuendelea nae, unataka uachane nae kabla hamjaingia majukumu ya kulea watoto. Unajitoaje hapo?
Ikiwa huna mapenzi nae sio vizuri kumuacha ghafla hivyo,jaribu kumsoma nini kinachofanya akupenda hivyo, kisha anza kupunguza hicho kitu,kama ni utundu Wa mapenzi punguza kidogo kidogo,kama ni hela punguza.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi nataka kurudiana na mchumba wangu wa zamani, nina hakika hana mpenzi lakini bado anawasiliana nami. Tulipoachana tulitoleana maneno makali sana. Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom