Hivi kwanini watu wabaya wanaringa sana?

Hivi kwanini watu wabaya wanaringa sana?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Wale watu wabaya wasiokuwa na mvuto hata ukimuangalia hapendezi machoni, sura mbaya wapo wapo tu lakini wanakuwaga wanaringa hao utasema wanamiliki dunia kumbe hamna kitu 😂😂 mvuto hawana pesa hawana ila wanaringa hao 😂 wenyewe wanajikutaga wazuriiiiii. Wewe kama unajijua mbaya usiwe unaringa mkiringa ndio mnazidi kuwa wabaya 😂
 
bina
Wale watu wabaya wasiokuwa na mvuto hata ukimuangalia hapendezi machoni, mbaya sura mbaya wapo wapo tu lakini wanakuwaga wanaringa hao utasema wanamiliki dunia kumbe hamna kitu 😂😂 mvuto hawana pesa hawana ila wanaringa hao 😂 wenyewe wanajikutaga wazuriiiiii. Wewe kama unajijua mbaya usiwe unaringa mkiringa ndio mnazidi kuwa wabaya 😂
Binafsi niko kawaida ila nnavoringa balaaa yaan ata mwendo wangu ni kama sijawai kukopa vile afu ni mfupi sasa lakin weee!! ukinikuta njiani kama namiliki Tanzania..najiamini mbka naona raha..
 
Wanatumia hyo mbinu kama defensive mechanism ya kujipa self esteem.
Wale watu wabaya wasiokuwa na mvuto hata ukimuangalia hapendezi machoni, mbaya sura mbaya wapo wapo tu lakini wanakuwaga wanaringa hao utasema wanamiliki dunia kumbe hamna kitu [emoji23][emoji23] mvuto hawana pesa hawana ila wanaringa hao [emoji23] wenyewe wanajikutaga wazuriiiiii. Wewe kama unajijua mbaya usiwe unaringa mkiringa ndio mnazidi kuwa wabaya [emoji23]
 
bina

Binafsi niko kawaida ila nnavoringa balaaa yaan ata mwendo wangu ni kama sijawai kukopa vile afu ni mfupi sasa lakin weee!! ukinikuta njiani kama namiliki Tanzania..najiamini mbka naona raha..
Kumbe mfupi 😂 Watu wafupi na watu wabaya hawanaga tofauti. Mnajiona sana 😂ila hamjui tu mkiringa ndio mnazidi kuwa vituko
 
Wanatumia hyo mbinu kama defensive mechanism ya kujipa self esteem.
Basi self esteem yao inakuwa inazidi sasa. Mtu unamuangalia halafu unajiuliza hivi huyu anajikuta nani? 😂😂 Wana confidence ya hatari 😂
 
Halafu ndio wanajikutaga Alpha female kwenye group lenye mademu wakali kuliko yeye

Sasa ombea uwe sehemu ukawa interested na rafiki yake dah

Mimi kwenye sorting naanzaga nao ili isiwe shida kupata target yangu
 
Hawa jamaa hawana kitu cha kupoteza ndio maana wanajilipua kuringa tu[emoji23]
 
Wale watu wabaya wasiokuwa na mvuto hata ukimuangalia hapendezi machoni, sura mbaya wapo wapo tu lakini wanakuwaga wanaringa hao utasema wanamiliki dunia kumbe hamna kitu 😂😂 mvuto hawana pesa hawana ila wanaringa hao 😂 wenyewe wanajikutaga wazuriiiiii. Wewe kama unajijua mbaya usiwe unaringa mkiringa ndio mnazidi kuwa wabaya 😂
Watakuwa na misambwanda hao ndo huko kuringa kote
 
Wale watu wabaya wasiokuwa na mvuto hata ukimuangalia hapendezi machoni, sura mbaya wapo wapo tu lakini wanakuwaga wanaringa hao utasema wanamiliki dunia kumbe hamna kitu [emoji23][emoji23] mvuto hawana pesa hawana ila wanaringa hao [emoji23] wenyewe wanajikutaga wazuriiiiii. Wewe kama unajijua mbaya usiwe unaringa mkiringa ndio mnazidi kuwa wabaya [emoji23]
#Kapeace
 
Back
Top Bottom