moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Wakuu habari ya kazi,
Jana nilikuwa naongea na dada mmoja kashaachana na mumewe akasema nimemvumilia sana mume wangu, ukorofi, uzinzi, kelele, kilichomkwaza ni kumtangaza kwa watu kuwa eti mke hajui mapenzi.
Kila siku alikuwa anaomba msamaha, hadumu kifuani kwangu hata dakika 20, ni dakika 7, tayari ananiacha na genye zangu.
Sasa kampata kijana anampa yote anakiri nimeshiba baba yangu naomba niache, majina ya baby, honey, sweet, mhh hakuna, akasema ninakuita baba unaniweza najua niko na mwanamme siyo baby.
Wazee mmewahi kukumbana na mke akakiri kashiba? Ameshangaa kuona kuna watu wapiga, 4, mechi moja kwa saa 4 kaenda kazini full kulala katuma SMS baba usingizi nahitaji kulala nikamwambia piga kazi.
Wanawake mna siri kubwa za wapenzi wenu, haya wanawake haya yapo kwenu au uongo?
Sent using Jamii Forums mobile app