Nawasalimu wana JF
Natafuta rafiki wa kike mwenye hofu na Mungu anaye jitambua na asiwe limbukeni na dunia, awe na nywele za asili anayependa kuwa halisi kwa muonekano, elimu ni kigezo cha ziada...
Habari wanajamii.
Mimi ni kijana mwenye wa miaka 25, ninafanya kazi kwenye kampuni fulani hivi ya kigeni, elimu yangu ni kidato cha sita.
Natafuta mchumba awe na sifa zifuatazo.
-awe mwenye...
Jana, mume wa rafiki yangu amemuua mtoto wake bila kukusudia akiwa anageuza gari lake atoke kweda kazini. Sipati picha maumivu walio nayo wazazi hasa baba wa mtoto kwa kusababisha kifo cha...
Hebu fikiria kwamba watu wawili wenye ujuzi sawa wameenda mahali kuomba kazi. Je, kama ni wewe unayetafuta mtumishi kwenye ofisi yako, utamchukua ambaye hajiamini kati yao? Hapana utamchukua yule...
Kupata mke wa kuoa hapa jamii imekuwa kasheshe kubwa sana kwangu mimi kila mwanamke ninaekutana nae anataka niwe na mjengo na nisiwe na watoto,nina miaka 42,tangu nikiwa na miaka 37 nimeanza...
Nimeanzisha mahusiano ya uchumba na binti na tuna muda kama mwaka mmoja.
Siku moja katika maongezi yetu nikamdadisi vya kutosha kuhusu suala la afya akafunguka mengi sana. Baadhi ya matatizo...
Inasikitisha, lakini ndiyo tena yametokea, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu, jamaa katobolewa jicho na kukatwa masikio; tafadhali soma zaidi hapa chini:
Akatwa masikio, atobolewa macho baada...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,
Usiku wa kuamkia leo kuna msichana amenitokea ndotoni.Msichana huyu niliwahi kumtongoza kipindi nasoma chuo kikuu na nilikua nasoma nae darasa moja.
Nililazimika...
Kwisha habari, wanaume tumebaki wachache. Kuna siku nimesoma thread ya mtu aliyejiita mwanaume analialia mwanzo mwisho, ati kapigwa chini na binti! Wanaume siku hizi wamekuwa wa kuunga unga kiasi...
1.Ungejua wala sina haraka ya kuolewa!
Hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kuona umri unamkimbia, ameshahudhuria harusi za marafiki zake, pengine ameshaliona mpaka gauni litakalompendeza harusini...
A graduate has been seeking for job, for almost fifteen good years. No means to get money. Then one day she had only but one dollar with her, she entered in a restaurant and bought food with that...
Wadau nina mpenzi wangu ambae anasoma chuo kiukweli katumia pesa zangu sana tu mpaka akafikia kunizalia mtoto, sasa pesa zimekata na nyumba niliyopanga nikarudisha nikarudi home kujipanga upya...
habari za usiku wana jamii forum. kuna hii insue unakuta mtoto anakaa na mama yake mzazi together with his step father but anakuwa too insecure na pia wengi wanakuwa na very low self esteem...
Kuonyeshwa mapenzi yaliyopitiliza: Huyu ana ushuhuda…!
Nilifunga ndoa na mume ambaye mwanzoni kila mtu aliamini kwamba nilimpa madawa ya kumpumbaza kwa jinsi alivyokuwa amehemkwa kwa...
Habari zenu wana group.
Tunauza PADS za Human Cherish maarufu kama HQ. Kwa sasa tuna Sanitary Pads tu ambazo hutumiwa na wanawake kwenye kipindi cha HEDHI.
PADS hizi ni Pads zenye ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.