Habari za wakati huu great thinkers.
Takribani miaka kumi na mbili sasa katika ndoa yetu na tumefanikiwa kupata watoto wawili wote wa kiume. Mke wangu ana rafiki yake wa muda mrefu sana...
Naitwa James, napatikana Iringa, umri wangu ni miaka 26, sijaoa na ni mwanaume, nimejitokeza kwa mara ya kwanza hapa kutafuta mchumba mweupe wa kabila lolote ila asiwe anatokea mbali sana toka...
Habari zenu wakuu.
Kuwahi kufika kileleni(premature ejaculation,P.E) si sjambo geni kwa wengi,lengo ni kutatua tatizo na si vinginevyo.
Nime post hapa kwasababu litawafikia wengi zaidi na...
Yaani wanawake sijui mpoje yani (SI WOTE), mmekalia majungu tu kwenye harusi za wenzenu. Unaweza kusema watu wamekuja kufurahia pamoja nawewe katika harusi kumbe wamekuja kukuchora tu.
Harusi...
Habari. Mimi ni kijana wa miaka 29 naishi Kinyerezi nafanya kazi kwenye kampuni binafsi, natafuta binti awe mchumba ambaye atakuwa mke baada ya kufanya taratibu zote.
Awe na sifa zifuatazo
Umri...
(Mods kwa indhini yenu naomba hii topic iwe hapa MMU kwani ni watu wengi wanaleta issues zao hapa wanapokuwa "heart-broken"... Asanteni)
Kichwa cha habari hapo juu chahusika
Unapokuwa na maumivu...
Baadhi yetu tunajua au kwa kuambiwa ama kwa kuhisi kwamba, tunaringa sana na pengine tumejaa dharau kwa wengine. Baadhi yetu hatujali kuhusu hisia za wengine, na tunachukulia shida za wengine...
AM 24 YEARS OLD END AM LOOKING FOR E BEAUTIFULL MAMA OR LADY TO MARRY ME.WHAT MATTERS IS REAL LOVE END TRUTH TO EACH OTHER.ANY ONE INTRESTED CALL MY NO.+255719029016 MY EMAIL ADRESS IS...
Mathayo 19:9 linaeleza vizuri.
''ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kuoa mwingine, ila kwa sababu ya uasherati, anafanya uzinzi''. kama mwanamke ni muasherati unaruhusiwa...
Ninaishi na mwanamke tangu mwezi uliopita.
Hatujaoana ila niko mbioni.
Hapa niishipo pia kuna mtoto wa dada yangu, ambaye namsomesha na yuko darasa la sita shule ya msingi mbuyuni.
Muda huu ndio...
Habiri wakuu,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize...
KWA UFUPI
"Anatakiwa ajiamini katika kutekeleza majukumu yake, pia asiogope kushindwa kwani ni sehemu ya mapambano katika maisha. Hivyo, hatakiwi kuwa na hofu katika kutekeleza majukumu yake"...
Mimi naitwa Fred ... Ni baba wa familia ya Mke na watoto wawili, naipenda familia yangu na tunaishi vizuri. Kikubwa nilipata promotion kazini Hali iliyolazimu niiache familia yangu pale...
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....
NATAFUTA MUME
Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.
Nimetoka kwenye...
They are believed to have been dating each other for the past six months.
But on Monday evening Orange Is The New Black actress Samira Wiley and Lauren Morelli (who is a writer on the show)...
Wanaume kwa kawaida hutumia mbinu nyingi pale wanaposaka papuch.
Mdada utasifiwa hadi sifa ambazo hata malaika hana! Mara romantic eyes... sijui nini nini mouth (mnajua wenyewe mnavyoita) nk...
wakuu nina tatizo nimekaa nalo muda mrefu sana moyoni mwangu'
tumezaliwa wanne kwenye familia yetu'
sisi ni wachaga na tumekulia na kulelewa na kusoma uchagani'
lakini kwa kadri tulivyokuwa...
Habari kwenu JF,
Mbali na kuwa humu Jf watu hawaonekani, Lakini bado wanawake wamekuwa na aibu sana au pengine hawajawahi kufikishwa kileleni,
Wanaume ndio wamekuwa wakijisifu kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.