Hii ndoto inamaana gani kwangu

Hii ndoto inamaana gani kwangu

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,

Usiku wa kuamkia leo kuna msichana amenitokea ndotoni.Msichana huyu niliwahi kumtongoza kipindi nasoma chuo kikuu na nilikua nasoma nae darasa moja.

Nililazimika kumtongoza sababu nilikua nampenda kiukweli na yeye mwenyewe alikua akinitumia sms za mitego hadi usiku mnene hali iliyosababisha nipate msukumo wa kumueleza yangu ya moyoni.

Kwakua alikua akinipiga sana kalenda nililazimika kutafuta mpenzi mwingine na nimebahatika kuzaa nae watoto wawili mmoja wakike na mmoja wakiume.Mara kwa mara kipindi cha nyuma kidogo huyu msichana ambae nimesoma nae chuo amekua akiniuliza kama kwasasa naishi na huyu mwenzangu niliyezaa nae au la.

Kiukweli huyu msichana niliesoma nae chuo kimoja nilikua nampenda sana na hata yeye alionyesha dalili zote za kunipenda ingawa mwishowe me nilishindwa kuwa mvumilivu baada ya kuona mwenzangu akizidi kunipiga kalenda kwa kigezo cha kwamba bado anaendelea kunichunguza.

Usiku wa kuamkia leo huyu msichana amenitokea ndotoni na nimeota kwamba niko nae kwenye mahusiano tukiwa sehemu tunajivinjari.Nimejaribu kutafsiri ndoto hii lakini nimeshindwa kabisa kupata maana ya ndoto hii.

Naomba kwa wale ambao mnajua tafsiri za ndoto mnasadie kunipa maana ya ndoto hii.

Asanteni
 
Haina maana yoyote hayo ni mawazo yako uliyomfikiria sana hatimaye ukaota usiku,kikubwa jiepushe na zinaa inagonga hodi mlangon pako,achana naye endelea kumpenda na kumthamini mkeo.
 
Inawezekana mkuu ulikua na Genye nyingi tu hadi ukapata wet dream ,kwanza ndoto inakuaga kinyume huwezi ota direct!!
 
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,

Usiku wa kuamkia leo kuna msichana amenitokea ndotoni.Msichana huyu niliwahi kumtongoza kipindi nasoma chuo kikuu na nilikua nasoma nae darasa moja.Nililazimika kumtongoza sababu nilikua nampenda kiukweli na yeye mwenyewe alikua akinitumia sms za mitego hadi usiku mnene hali iliyosababisha nipate msukumo wa kumueleza yangu ya moyoni.Kwakua alikua akinipiga sana kalenda nililazimika kutafuta mpenzi mwingine na nimebahatika kuzaa nae watoto wawili mmoja wakike na mmoja wakiume.Mara kwa mara kipindi cha nyuma kidogo huyu msichana ambae nimesoma nae chuo amekua akiniuliza kama kwasasa naishi na huyu mwenzangu niliyezaa nae au la.

Kiukweli huyu msichana niliesoma nae chuo kimoja nilikua nampenda sana na hata yeye alionyesha dalili zote za kunipenda ingawa mwishowe me nilishindwa kuwa mvumilivu baada ya kuona mwenzangu akizidi kunipiga kalenda kwa kigezo cha kwamba bado anaendelea kunichunguza.

Usiku wa kuamkia leo huyu msichana amenitokea ndotoni na nimeota kwamba niko nae kwenye mahusiano tukiwa sehemu tunajivinjari.Nimejaribu kutafsiri ndoto hii lakini nimeshindwa kabisa kupata maana ya ndoto hii.

Naomba kwa wale ambao mnajua tafsiri za ndoto mnasadie kunipa maana ya ndoto hii.

Asanteni

Mkuu maana yake ni kuwa huyo uliyempenda amepata mwanaume ampendae na anatarajia kumwoa.
 
Umejivinjari na jini mahaba for sure
 
Ndoto kiufup ni zao la mawazo unayowaza kila mara katika maisha yako ya kila siku...... so hakuna jipya hapo.... kama ungekuwa haumuwaz kabisa alafu ukaja ukaota ndoto kama hiyo lazima kungekuwa na maana... Punguza mawazo na umpende uliyenae
 
Me nikajua umeota umepata hela au mchongo flan kumbe yale yale...
 
Pole.. Hebu mwambie kwamba leo ndi mwisho wa ku-FBI'wa!
Au anangoja kwanza apewe ebola ndo aje na true love?
 
Back
Top Bottom