Natafuta rafiki binti Mtwara

Natafuta rafiki binti Mtwara

lipwid

Senior Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
108
Reaction score
30
Nitakuwa mtwara kwa kipindi cha miezi sita kikazi niko single so kama uko interested lets mingle huwezi jua unaweza kuwa muke ya Boss
 
Mwenda bure asante...itabidi unipe ABC hapa mjini maana naambiwa wamakonde ni gusa unate
 
JF mtwara haina members maana naona watu wanapita tuu...Okey ngoja nipanue wigo ...Natafuta Mchumba
 
Niko Ligula B jirani name Achiso na kwa sasa niko hapa copacabana zamani free Mason
 
Nazjaz...nimekusomaaa...kumbe JF members mko pande hizi ..thanks kwa kujitokeza...nna storisha sana ngoja tukutane
 
Napatikana PM kwa wale msiotaka kujaa public
 
Nashukuru kwa ushirikiano ...kama kuna mpendwa(aliyeokoka ) nitafurahi pia
 
Back
Top Bottom