Sio hadithi za Shigongo hizi. It is true story guys

Sio hadithi za Shigongo hizi. It is true story guys

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
168
Jamani nina demu wangu tunapendana sana,ila mapenz yetu hayana mda mrefu hata miez 6 bado.

Sasa jana kuamkia leo alitoka kazini kwake amechelewa, nikampitia nikamshawishi twende wote geto kwangu akalale kwao ataenda kesho, make hajawai kulala kwangu wala hatujawahi ku have sex.

Basi akaniambia naenda sawa ila plz tusigusane, kama dada na kaka, nkamwambia poa!

Akakubali, akaja tukaenda wote geto. Tukalala, sikumgusa mpaka kukakucha, tena kitanda kimoja.

Na wala yeye hakunisumbua japo kuna mda msee yangu alikuwa ana wake up!

Nikavumilia mpaka cku ikaisha. Na huyo huyo ndo nataka aje awe mama watoto wangu huko mbeleni!

Sasa je, najiuliza atanichukuliaje? Ataniona mstaarabu kwa kutovunja sharti lake? Au atanihisi simpendi au sijui mambo hayo?

Maana cjamuuliza amenihisije kwa kuwa mkarimu vile, nasubiri wana Jf waniambie ukweli. Changia as much as u can.
 
safi sana..na wewe umemuonyesha kua sex is not the be all and end all..coz sometimes women wanaonaga wanaume kutwa wanataka sex tuuu..safi hiyo umemuonyesha kua tunaweza lala kitanda kimoja na nisikuguse...i like dat!!:A S thumbs_up:
 
safi sana..na wewe umemuonyesha kua sex is not the be all and end all..coz sometimes women wanaonaga wanaume kutwa wanataka sex tuuu..safi hiyo umemuonyesha kua tunaweza lala kitanda kimoja na nisikuguse...i like dat!!:A S thumbs_up:

thanx sana kwa maoni yako,at least nimepata mwanga.
 
umefanya vizuri,kwani ni kama ume respect maamuzi yake,na yeye mwenyewe pengine amejaribu kukupima.mambo mengine hayataki haraka

so kama ingekuwa ni paper tayari nshafaulu. Mie nilijihic atanichukulia as impotent man kumbe sivyo. Thanx mkuu!
 
umefanya vizuri,kwani ni kama ume respect maamuzi yake,na yeye mwenyewe pengine amejaribu kukupima.mambo mengine hayataki haraka


...Naam Kisukari mambo ya kula bila kunawa mikono hayapendezi kabisa hasa kama mdada aliomba iwe hivyo, subiri utunukiwe kwa mapenzi yake mwenyewe.
 
kuheshimu maamuzi ni nzuri sana na tena umefanya vyema maana tendo la ndoa sio kipimo pekeee...wakati mwingine mwanamke huzungumza asichokimanisha...ni vigumu kuwaelewa...uwe na amani...lakini pia usijisahau sana anakupima na wewe mpime kwa vipimo vingine.
 
Hakuna jibu sahihi!
Kizuri ni kama umefanya alichopenda
Kama kweli alikuwa anependa iwe hivyo otherwise your not a sharp shooter
Ila ingekuwa mbaya sana kama unge jaribu tukio wakati yuko serious na msimamo wake..
Vinginevyo ulitakiwa kutumia mbinu mbalimbali upate mambo (ila sio kutumia nguvu)
 
Hivi kwani hadithi za Shigongo zikoje?

Nini usiku mmoja bana? Huyu bibi yenu huyu..... Nlishawahi mbonji naye siku tatu bila kumvua andawea. Mpaka leo ananambia mie ni a real gentleman.

Inanisaidia sana hata akinikuta na kidemu nikimwambia usihofu, ngono si ugonjwa wangu hunijibu fasta "yeah, i know".
 
Hii ni pure Shigongo. kwani wewe ulipomwambia akalale kwako ulikuwa una malengo gani?.

Kingine ni kwamba uwezo wako wa kuchombeza ni below 10%, iweje kitu kiko zero distance halafu unagugumia maumivu usiku mzima.
 
Thats gentleman not all can do that ungenyafa kinyume na matakwa yake angekutangazia ulitaka kumbaka. Isitoshe, hii inamaanisha you're not there for only sex but real love.

Stay blessed.
 
Hongera sn,but sie wanawake sometime tuko kinyume,so inahitaji akili ya ziada kututambua tunamaanisha nn,tambua unadeal na mwanamke mjanja sn na anayejitambua sn,jitahidi kumsoma na umjue vizuri.
 
no nid to worry mkuu ,ulichofanya ni kitu kizuri.......ila pia usiku mmoja siyo kipimo kuwa wewe ni nyanya.
hongera kwa kuwa gentleman na respectful to your lady wish ,keep it up.
Angalizo; ikitokea hivyo tena kwenye next appointment make sure unamuandaa na kumweka katika mazingira ya kula tunda.
 
Uzoefu wangu:Wanawake huwa wako kinyume,akikuambia sitaki hamaanishi hivyo.Kuna siku moja AshaDii aliwahi kusema kuwa mwanamke akiwa anakuzungusha kuhave sex na wewe haimaanishi hataki anaweza kuwa hajiamini au anakuzungusha tu bila sababu.Huyo nae ninaweza nikawa na asilimia nyingi kuwa hakumaanisha alichokua anasema,hebu msome dada Cantalisia hapo juu utapata mwanga kwani nae ni mwanamke.Wanawake huwa hawasemi kwa uwazi labda awe ni wako wa siku nyingi!
 
Last edited by a moderator:
Hii ni pure Shigongo. kwani wewe ulipomwambia akalale kwako ulikuwa una malengo gani?.

Kingine ni kwamba uwezo wako wa kuchombeza ni below 10%, iweje kitu kiko zero distance halafu unagugumia maumivu usiku mzima.

Kulala pamoja kunavumbua mambo mengi sana maana unaweza kuta mwenzio mkilala ni treni kwajinsi anavyokoroma au anajambajamba hovyo au ndoto za kuongea na mengine. Nakushauri endelea kulala naye hhata kama hamta duu
 
Back
Top Bottom