Looking for a Christian girl

Looking for a Christian girl

baraker88

Senior Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
124
Reaction score
147
Nawasalimu wana JF
Natafuta rafiki wa kike mwenye hofu na Mungu anaye jitambua na asiwe limbukeni na dunia, awe na nywele za asili anayependa kuwa halisi kwa muonekano, elimu ni kigezo cha ziada, umri usiozidi miaka 35.

Sifa zangu
Jina : B
Urefu : 180 cm
Rangi : mweusi

Namkalibisha binti awae yeyote anayedhani anasifa kama hizo

Zingatia. Kutokua na hofu ya Mungu itawia vigumu kuendelea na mahusiano


Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom