Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Kwisha habari, wanaume tumebaki wachache. Kuna siku nimesoma thread ya mtu aliyejiita mwanaume analialia mwanzo mwisho, ati kapigwa chini na binti! Wanaume siku hizi wamekuwa wa kuunga unga kiasi hiki! Ila nimegundua tatizo wengi wamelelewa kizembe sana!
Hivi ungetahiriwa kama mimi hapa Hebu ona hii style ya kutahiri watoto | Online Whatsapp Content, kulialia kungetoka wapi? Hapakuwa na ganzi wala nini na shoka lilikuwa butu, lakini hata tone la chozi halikutoka.
Nimekuja kuandika hapa kwa sababu nina kesi: Kuna jamaa moja rafiki yangu wa siku nyingi, kaja kwangu analialia kwamba kaachwa na binti hawezi kula wala kufanya chochote, nilimlima kofi ghafla, yaani hiyo ilikuwa ni spontaneous response. Anyway nina kesi ya kujibu.
Ameenda mahakamani kufungua kesi kwamba nimemshambulia, lakini nimemhakikishia kuwa jibu langu kwa hakimu mbele ya kadamnasi ni kwamba nisingeweza kuvumilia huo uanawake, lazima ningempiga tu.
Nilisema siingii JF mpaka miaka mitano ipite, lakini hasira zimenileta hapa. Nimemwambia akija tena nampiga.