Wakubwa zangu shikamooni!
Niajeeeeeeeeeee!!!!!
Mnisamehe bure, huwa sipendi kuandika thread mpya wakt ya zamani bado ipo kwenye chati!!!!!!! LOL! Msione nimejibinafsishia hili jamvi wajameni...
Mimi sio mgeni hapa JF ila nimeamua kuja na ID nyingine coz mhusika wa story hii anajua ID yangu nyingine.
Mimi ni mke, lonely heart , ila sasa nimepata mtu hapahapa JF. Kwa muda nimekuwa...
Wasalaam wana jukwaa.
Ni matumaini yangu mko poa mnaendelea na mishe za maisha
Embu kwa pamoja tushirikiane kwenye kamkasa aka,,,katika pita pita zangu jijini apa nikabahatika kukutana na binti...
Jamani kwa kweli nina hali mbaya, wakati namwoa hakuwa na mwili mkubwa kama alivyo sasa, lakini vilevile sikufikiria kama anaweza kuwa na nguvu kiasi hicho.
Tatizo lake yeye ni ngumi...
Hi! All,natafuta mwanamke /binti wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo badae yanaweza kuzaa ndoa au kuburudishana tu!.nina 26 yrs,ambae yupo serious ani-pm,umri,elimu sio tatizo! Kikubwa...
Kutokana na kukosa muda wa kujichanganya na watu inaniwia vigumu kumpata mwenza wangu. Hivyo nimeamua kumtafutia jamvini.
Sifa zangu:
Nina umri wa miaka 39, sivuti sigara wala sinywi pombe ni...
Habari kwenu.
Inasikitisha sana unakuta mama wa makamo anagawa mbunye kwa vijana wadogo, ikiwa ni pamoja na mabosi wao ili wapandishwe cheo, pia unakuta ni mke wa mtu.
Hata wadada wakawaida...
Wakuu niko Tabora huku kwa majukumu flani, ila samahanini kwa msg ndeefu ila nyie tiririkeni ivo ivo tu.
Sasa ikatokea kuwa kazi iliyopaswa niifanye huku haikufanyika kutokana na sababu za msingi...
Kwanza sio kitu cha kawaida, sio desturi na wala sio kitu kilichozoeleka.
Lakini hakika nawaambieni, ukikutana na binti mrembo, mpole, mnyenyekevu, ama ofisini, ama safarini, ama hotelini, ama...
Ni jambo ambalo wahusika wanaweza kuwa wanalielewa zaidi kuliko mtu mwingine yoyote yule kwakuwa wao ndio wanaokumbana nalo zaidi.
Jambo lenyewe ni suala la mabinti ambao hawako kwenye ndoa kuwa...
HI Guys. MMU ni kioo cha kujitazama, kujikosoa na kujisahihisha, lakini pia elimu na burudani. Mada hii ni kwa wanaume lakini wanawake wanaweza kufafanua au kuweka sawa mambo na kutupa...
Tumeona mada nyingi sana za ushauri unao husu mahusiano. Tumesaidia njia nyingi kutambua na kupima mapenzi.
Anakufungulia mlango wa gari, Anaonekana bora akiwa jirani na wewe "Anataka akuoe"...
Hellow pals
Kuna kaka alikuwa mtanashati very adorn and smart halafu alitokea kwenye family mambo safi ni mtu wa material world na mambo ya spiritual tupa kule,days went on akamdate mtoto...
Habari
Nimekuwa natafiti sana kuhusu taasisi ya ndoa na kwa bahati mbaya niliathiriwa na mazingira katika utafiti wangu hivyo haukukamilika, katika lugha ya kiingeleza neno mume au mke ni pana...
Salaam.
Mimi nina (25yrs), mpole, muaminifu, mkarimu na mwenye heshima kwa wote na degree holder.
Natoka kwenye familia ya kawaida sana ambayo haina urafiki na familia yoyote bora, nipo hapa...
Habarini marafiki zangu.
JE NI VYEMA AU BUSARA KUTOKUMSHIRIKISHA MAMBO YULE ULIYEUNGAMANISHWA NAYE KATIKA NDOA?
Wakati mwingine tunafanya mambo bila hata kufikiri wala kujipanga na wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.