Nadhan wanaume wengi mtakua mshakutana na kauli kama izi, mwenzako b it mke au GF inaweza tokea akapishana na ndugu zako hasa ndugu zako upande wa kike either mama au sista zako alafu anaanza kuja...
Huwa nashangaa eti unakuta mwanamke anakwambia he is just a friend. Yaan dume na lina nguvu za kiume unaniambia hivyo.
Yaani mimi huwa siwezi kabisa kuwa na just a friend lazina nitamuomba tu...
Kwa siku za nyuma ilikuwa mwanamke kutoka nje ya ndoa kilikuwa ni kituko na ajabu kubwa ya kushangaza jamii. Lakini hivi sasa mambo yamekuwa ni tofauti sana. Tafiti za hivi karibuni zinaonyesha...
His Excellence the Chief of Kusadikika has a complete report of your discussions here at JF so he has sent me as a special Envoy to listen and participate in your discussions on how men and women...
Ndugu wanaJf,
Tumekuwa tukijadili sana kuhusu matatizo yanayoweza kuwakumba wanawake ambao wametahiriwa. Kuna pia hili tatizo la wanaume wengi kushindwa kuwaridhisha kimapenzi au kuwafikisha...
Habari kwenu,
Nyumba kubwa nyingi baada ya ndoa hujisahau, wanaume wengi ili kupunguza fujo katika ndoa huamua kutafuta nyumba ndogo ili mambo yaende.Hebu fikiria baadhi ya viroja vya nyumba...
Ninaujauzito wa miezi 8 mhusika kaukataa kwa madai kuwa anamchumba wake anampenda sana na hata muelewa akimwambia kama anamtoto kwani anajua hana.
Tena kaniambia nisimtafute kabisa na namba...
You know that amazing feeling you get when you kiss someone you really like? Or maybe a partner from long ago who still gives you that tingly feeling? Kissing is more than just moving your lips...
Habari za mida wakulu wa jukwaa la MMU.
Ukisikia nzi kafia kwenye kidonda usibishe huko nikupenda, nilikuwa nafikiria inakuwaje mtu anapenda mpaka anakuwa na wivu juu ya mwenzi wake, nilikuwa...
Habari zenu wana JF
Kama kichwa kinavyojieleza nimeona niongelee jambo linaloniumiza kichwa japo bado sijapata mtoto ila naona namna watoto wanavyokosewa na wazazi wao.
Wazazi baadhi yetu...
Katika watu waliowahi kuumizwa kwenye mapenzi mimi ni miongoni mwao leo katika kutafakari nimesoma andiko hapa nimegundua moyo wangu ulinidanganya sana.
Kujitambua ni suala muhimu sana sikujua...
1: BACHELOR HUSBAND:
Does things on his own without consulting
wife. Hangs out a lot with friends
more than wife. Not serious
about marriage life.
2: ACIDIC HUSBAND:
Is always boiling like acid...
Miaka 21-26 kama upo free hauna mme unapenda kuliwazwa na kustahareheka nipm.
Vigezo ni msichana tu kabila lolote, rangi yoyote, dini yoyote karibu we dada.
Ni baadhi ya mabinti wengi hukataa kutumia condom.
hii ipoje.
} Kumwamini sana mwanaume
} Kumwonesha upendo wa dhati mwanaume
} Wanapata xana maumivu pindi watumiapo weza wao
hii ipoje? wadau
Habari zenu?
Jamani nina rafiki yangu alikuwa na mchumba wake ambae walikuwa wanapendana sana na walikuwa wameahidiana kuja kuoana.
Muda ulipofika yule mwanaume alienda kuwaambia wazazi wake...
kutoka fb page ya mshikaji wangu Muruswad, leo ameandika hivi!
ETI MADADA NA HILI NAWASINGIZIA AU:
Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.