Neno gani linauma zaidi?

Mafikizolo

JF-Expert Member
May 8, 2014
3,487
1,622
Neno gani linauma na kuchoma zaidi kutoka kwa mpenzi wako unae mpenda kwa dhati?
1. Tuachane.
2. Sikutaki tena.
3. Nimepata mwingine.
4. Mbona king'ang'anizi wewe.
5. Sikupendi.
6. Wazazi wangu hawakutaki.
7. Siwezi kuwa na wewe .
8. Kama nilikosea njia tu.
9. Huna mvuto.
10. Najuta kuwa na wewe.
Kati ya hayo maneno lipi ukiambiwa kinakuchoma kumoyo?
 
namba nne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom