MkamaShapu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 317
- 170
Habari wanajamii.
Mimi ni kijana mwenye wa miaka 25, ninafanya kazi kwenye kampuni fulani hivi ya kigeni, elimu yangu ni kidato cha sita.
Natafuta mchumba awe na sifa zifuatazo.
-awe mwenye heshima na tabia njema
-awe mwenye kujitambua
-awe mwenye upendo wa kweli
-Umri kuanzia miaka 22-30
Sichagui dini wala kabila....PM zinakaribishwa.