Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hujambo xxx, ninayo namba yako ya simu mda mrefu lakini kila nikitaka kipiga nasita. mimi ni YYYY' hii message imetoka kwa mme wa jirani yangu ambaye familia yangu na yake zinaheshimiana sana na...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
wanaume tunaongozwa na tamaa % 100. leo unamkuta mdada mahali unataka kumlala agali hujui hali yake......mwanamke akikukataa hebu tushukuru kw kuwa wengne ni +lakn hawpend kuuumiza wengne...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
habari za jion mabibi na mabwana. ninafurahi ku share nanyi marafiki zangu wa humu. leo asubuh mwenzangu kajifungua mtoto wa kike salama. mama, mtoto na baba wote tunaendelea vizuri...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadau habari ya leo, Kwa zaidi ya miaka mitano nimekuwa nikichunguza hii dhana ya wasichana wengi kuogopa mimba kuliko magonjwa ya zinaa,virusi vya UKIMWI pamoja na gonjwa kubwa la UKIMWI. Wengi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Katika karne ya leo, wapendao kukubaliana “kusafisha macho” nje wakati bado wako pamoja ni jambo ambalo sio geni kabisa katika nchi za dunia ya kwanza. Hawa wenzetu huwa wanaruhusiana kwenda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Huyu dada nimemfahamu miaka mitatu iliyopita. Ni mwanasheria kwenye firm fulani jijini Dar, nilikuwa nina mpango wa kumuoa haraka, ila mmoja wa marafiki zake wa karibu aliniambia nijitahidi...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Watu wengi tu wanapokuwa na wapenzi huwapa zawadi mbalimbali wapenzi wao. Inategemea mtu ana uwezo gani. Wengine wamekuwa wakitoa zawadi kama TV, Radio, Music system, Sofa, Gari, Kiwanja na hata...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
wapenda pepo wote naomba msaada wenu tofauti kati ya mahaba na mapenzi jamani ntashukuru kwa hilo hi!!!!!!!!!!!
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Mabinti Wa kileo hawajitambui kabisa eti utakuta binti anampenda mtu mwenye pesa na anafikia hata hatua ya kuwa anamhonga ili tu jamaa ampende, hivi nyinyi mabinti hivi unataka mwanaume mwenye...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Hivi inakuaje unaishi na mke wako lakini mnashindwa kuelewana endapo kunatokea matatizo ya kifamilia badala yake mnaanza kutumina msg kwenye simu badala ya kukaa chini na kusolve face to face
0 Reactions
16 Replies
4K Views
FOMU TOKA KWA BABA MKWE MTARAJIWA FOMU YA MAOMBI YA KUMUOA BINTI YANGU KIJANA, JAZA FOMU HII KWA MWANDIKO WAKO MWENYEWE NA KWA HERUFI KUBWA. Mimi ......................., natuma ombi la kumuoa...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama umeolewa, tulia na mumeo. Na pia, kama umeoa tulia na mkeo. Kuwa mkweli kwa mwenza wako. Kuhangaika hakuna maana kwan waweza kuja leta mtafaruku ktk familia. Mapenzi ya kweli na ya dhati ni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Work Questions Let's acknowledge that we live in an extremely status-oriented society, with emphasis placed on marrying a person with the "right" professional identity. How often have you heard...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, niaandika uzi huu kwa masikitiko sana kwa hali iliyomtokea dada mmoja mkazi wa Bukoba. Dada alipata mchumba na jamaa akatoa mahari kabisa ndoa ikatangazwa kanisani tena kwa...
8 Reactions
150 Replies
14K Views
A-Rod's wife files for divorce in Miami Updated: July 7, 2008, 12:44 PM EST print MIAMI (AP) - Alex Rodriguez's wife filed for divorce Monday, calling her husband an adulterer who...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza kabisa mimi ni kaka sio dada naona watu kidogo wamejichanganya hapo chini wanajua mimi ni dada Habari za kazi wakubwa na wadogo....Nadhani hii ni sehemu yake ya kuweza kuweka kitu chochote...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Utafiti ulikofanyika - Ercuyes University, Turkey Mud wa utafiti - mwaka mmoja Idadi ya wanaume waliokuwa studied - 200 Matokeo Wanaume overweight wenye vitambi walionekana kuwa na uwezo wa...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Ilikuwa siku ya jumamosi nilienda kwenye sherehe za harus ya rafik yangu, nilikuwa peke yangu maana wife amesafiri kwenda kumuuguza bibi yake ambae ndo alimlea, pale kwenye sherehe nilishuhudia...
1 Reactions
131 Replies
13K Views
Kuna baadhi ya watu wakikolea/kuzama ndani ya penzi hudiriki kumwita mwenzie baba au mama. Wengine haswa wanawake hufikia mpaka kubadili jina na kujiita jina la mpenzi wake ndio ubini wake...
3 Reactions
62 Replies
26K Views
Kuna mtindo nilikuwa nao wakati mgeni kwenye mapenzi, nilikuwa napenda kukagua simu na email za mpenzi wangu bila ya yeye kujua. Kuanzia sms, missed calls, received calls, dialed calls hadi ku...
0 Reactions
76 Replies
15K Views
Back
Top Bottom