Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
My 2 cents.... am also not a professionalHivi inakuaje unaishi na mke wako lakini mnashindwa kuelewana endapo kunatokea matatizo ya kifamilia badala yake mnaanza kutumina msg kwenye simu badala ya kukaa chini na kusolve face to face
...wana vocha za mchezo hao, imagine muda wanaopoteza ku- flick keys kwenye simu zao, wangekuwa weshaongea mangapi?
solution katika hilo ni mmoja wao kuacha kujibu 'txt msg' na ku demand face -face 'showdown'!
makubwa,
Wana vocha za mchezo hao.
Lakini kama wako serious na uhusiano wao basi itafika siku wataongea vizuri tu.
Tushike majembe tukalime, tukirudi...
Pia kuna technic inafundisha utaalamu wa jinsi ya kusurvive kero bila kuharibu uhusiano.
'how to continue loving your spouse even when you do not like him/her'
Sasa si utuwekee hapa haika? Sisi wengine wife zetu ndo walivyo. Anakuboa kwa txt msg .Usipojibu anakutuhumu ..madharau. Ukijibu anaangusha bomu lingine ali mradi utume tusi ili apate pa kuanzia. Tusadieni bana.

nimemkumbuka baba mmoja, msomi alioa mke toka kijijini. Waliishi vizuri kama miaka 15 ila baba alikuwa anakerwa sana na tabia ya mkewe kubinya dawa ya mswaki bila mpangilio ile tube (zile za zamani za bati) inakuwa inabonyea kila mahali inamkera baba hadi ikabidi waachane.
Ni kweli ilimkera sana sana, hata akiulizwa inakuwaje anamuacha mkewe alikuwa anaitaja hiyo kama sababu, offcourse kulikuwa na mengine lakini hili lilimgusa sana labda na tabia ya mkewe kutokujirekebisha.
sasa kama ni wewe utamkejeli huyo baba lakini hebu jifikirie ishu yako inayokukera, je ni ukiikubali kama udhaifu wa mkeo/mumeo, kweli utakuwa umeumia kiasi gani, je ukisacrifice hiyo tabia, nakupata penzi zaidi, utafaidi au utapungukiwa zaidi?
.....mhhhhh......Bravo Haika.
Yaani kuna tabia dongo sana ambayo inaweza ku turn off mtu...mie tulikuwa tunagombana na GF wangu kwa tabia ya kufungua kifuniko cha lotion badili ya kutumia kile kitundu special cha kutolea...why ukifungua mfuniko wote inamwagika yote...sasa ilikuwa nikisema nauliza value ya lotion yeye....
Sasa vitu kama hivyo vikiendelea vinafanya mtu kuondokana na msalaba huo.Sababu kama hii si rahisi kueleweka katika mazingira ya kawaida....mie na huyo msomi karibu tunakaribia...
Unajua Maritial Status Yaani Umeoa Au Umeolewa Ziko Za Aina Tano Sio Kuoa Au Kuolewa Tu Nikama Zifuatazo Kwa Lugha Zote. (1) Kuoa/kuolewa Yaani Being Married (2) Kuna Singularity Yaani Sikuoa Au Sikuolewa(3)ndoa Tengemano Yaani Separated{ion} (4)ndoa Telekezo{kutelekezwa No Kwaheri No Talaka} -deserted{ion} (5) Talaka Divorrce.
Lesson Two / Somo La Pili {mechanics Of Marriage)
Viungo Vya Ndoa{marrieage Reinforcement}
Ndio Sababu Ya Yote Nondo Za Chuma Au Mfuko Mmoja Wa Sementi Matofali Mia Ndio Uimara Wa Ndoa
Electromechanic Of Marriage
To Be Continued- -
Prof Dr Ing Rev Tumaini Geofrey Temu/liampawe
nimemkumbuka baba mmoja, msomi alioa mke toka kijijini. Waliishi vizuri kama miaka 15 ila baba alikuwa anakerwa sana na tabia ya mkewe kubinya dawa ya mswaki bila mpangilio ile tube (zile za zamani za bati) inakuwa inabonyea kila mahali inamkera baba hadi ikabidi waachane.
Ni kweli ilimkera sana sana, hata akiulizwa inakuwaje anamuacha mkewe alikuwa anaitaja hiyo kama sababu, offcourse kulikuwa na mengine lakini hili lilimgusa sana labda na tabia ya mkewe kutokujirekebisha.
sasa kama ni wewe utamkejeli huyo baba lakini hebu jifikirie ishu yako inayokukera, je ni ukiikubali kama udhaifu wa mkeo/mumeo, kweli utakuwa umeumia kiasi gani, je ukisacrifice hiyo tabia, nakupata penzi zaidi, utafaidi au utapungukiwa zaidi?
Bravo Haika.