Mahaba na mapenzi lipi bora!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahaba na mapenzi lipi bora!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 1, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  wapenda pepo wote naomba msaada wenu tofauti kati ya mahaba na mapenzi jamani ntashukuru kwa hilo
  hi!!!!!!!!!!!
   
 2. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2008
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mama Mia,
  ngojea kwanza tumalize kujadili hotuba ya JK, kabla haijatolewa kwenye ansard kwa kukosa mtiririko. TUkimaliza, ndio tutarudia kwenye hii hoja ya utofauti wa mapenzi na mahaba.
   
 3. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Helo Mama Mia! (jina lako linaonesha kuwa u......... manshalaaah)

  Napata mashaka na hao wapenda PEPO uliowaoba msaada wa hii kitu yako hapa. na labda kwa kukusaidia ili tuweze kuijadili mada hiyo vizuri ni bora ukaipeleka katika Jukwaa la Mapenzi na Mahusiano kwani ndio pahala husika zaidi kwa hii post yako na tutakuwa huru zaidi ktk kuichangia.

  Wasalaaam Mama Mia
   
 4. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2008
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mod naomba upeleke hili kwenye proper forum, hapa sio mahala pake
   
 5. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mama mia! mbona kuna Jukwaa la Mahaba pembeni!! kwanini usingepeleka kule?
   
 6. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nadhani umeingia choo ambacho sio cha jinsia yako!!!!!
   
 7. araway

  araway JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2008
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  nyie apo juu mnapenda malumbano! mudamlioutumia mungekuta mshamjibu mama mia. labda minianze, uku kwetu mahaba ni ule ukoko wajuu wa wali. na mapenzi yanaitaji uwanja mpana kukujibu hapa apatoshi labda uipeleke kule wanapokushauri kina shomari! asenteni!
   
 8. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hii ishaingia pahara pake...will be glad..to see the responce..

  Mahaba ni hali ya kwanza ya kuanza kwa uhusiano...yaani wala hakuna anaye taka kuona mwezie anapotea katika uso wake...kila analo sema mwenzio ndio ambalo ulitaka kusikia toka mdomo wake...huna la kuchuja.Ukisoma hadithi za shingongo utaina mfano wake hasa ile iliyo fikia sehemu ya 17.

  Mapenzi sasa hapo ndipo sasa unaanza kuwa makini na mwenzio...kila asemalo unajua ndio anacho maanisha...sio ambacho unataka kusikia...unakuwa mchunguzi sana na mwenendo wake...kwani unajua kuna uwezekano wa kuwa nae milele au vinginevyo...milele ndio linalo kuongoza.

  Regards
  Buswelu
   
 9. BrownEye

  BrownEye Member

  #9
  Nov 17, 2008
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya bro, naona umeanza vizuri.
   
 10. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2008
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umhhhh, sijui kama ni sawa hapa. Mapenzi ni hali ya kupenda kitu au mtu. Mfano unaweza kuwa na mapenzi na mbwa wako, paka n.k.
  Lakini kuwa na mahaba ama mahaba ni hali iliyovuka mapenzi. Hasa kwa hali ya kawaida, watu huwa wapenzi na kama ni wa jinsia tofauti basi huvuka kiwango cha mapenzi na kuingia mahabani. Labda nimekupa mwang kidogo.
   
 11. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #11
  Nov 17, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mapenzi na Mahaba ni maneno yenye maana sawa.

  NB: Neno Mahaba Linatokana na neno la kiarabu ,
  محبة (Mahabat). Na lina maana ya mapenzi au kupenda.

  Matumizi yatatofautiana tu, kulingana na matumizi uliyoyakusudia.

  Wakati mwingine neno Mahaba utumika kuonyesha hali ya mapenzi uliokuwa nao...! kwa ujumla hakuna tofauti.

  Tusubiri wataalam watufahamishe zaidi...!
   
  Last edited: Nov 18, 2008
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  kuna tofauti kidogo hapa...

  kunaweza kukawa na mapenzi bila mahaba ila hakuna mahaba bila mapenzi!
   
 13. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2008
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145

  Napendekeza Kana ka Nsungu na Brazameni watafutwe, nadhani wanaweza kusaidia kujibu hili.
   
 14. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Vinaenda sanjari
   
Loading...