Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Watu wengi tu wanapokuwa na wapenzi huwapa zawadi mbalimbali wapenzi wao. Inategemea mtu ana uwezo gani. Wengine wamekuwa wakitoa zawadi kama TV, Radio, Music system, Sofa, Gari, Kiwanja na hata nyumba hii ama ni kupalilia penzi ama in return for wonderful love they had together. Uhusiano ukivunjika, kwa namna yoyote ile, Je, Ni halali kurudisha hii ama hizi zawadi?
Have a lovely weekend.
Have a lovely weekend.