mgoli magombe
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 121
- 27
Mabinti Wa kileo hawajitambui kabisa eti utakuta binti anampenda mtu mwenye pesa na anafikia hata hatua ya kuwa anamhonga ili tu jamaa ampende, hivi nyinyi mabinti hivi unataka mwanaume mwenye gari, nyumba nzuri, viwanja hivi mnajua kavipateje?
Pia mnajua ni mabinti wangapi wazuri na warembo wanavitamani vitu hivyo?
Binafsi na washauri mtafute wanaume ambao mtatafuta nao hivyo vitu.
Asiye nacho leo ni mwenyenacho wa kesho na aliye nacho leo ni asiye nacho wa kesho.