Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 130
Katika karne ya leo, wapendao kukubaliana kusafisha macho nje wakati bado wako pamoja ni jambo ambalo sio geni kabisa katika nchi za dunia ya kwanza. Hawa wenzetu huwa wanaruhusiana kwenda kwenye dates na watu wengine. Aina za dates ziruhusiwazo katika open relationship zina vary
..
Baadhi ya wapenzi ukubaliana kila mmoja ni ruhusa kwenda kwenye dinner dates na watu wengine (mfano Will Smith na Jada Pinkett-Smith). Na ni dinner tu ..zaidi ya hapo hairuhusiwi. Wengine wanafungua wigo wao na kuruhusu mpaka kwenda kufanya mambo ya kikubwa na watu wengine.
Je mnasemaje kuhusu open relationship?