Anashinda Whatsapp, nashindwa kumbwaga

Anashinda Whatsapp, nashindwa kumbwaga

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,437
Reaction score
4,790
Huyu dada nimemfahamu miaka mitatu iliyopita.

Ni mwanasheria kwenye firm fulani jijini Dar, nilikuwa nina mpango wa kumuoa haraka, ila mmoja wa marafiki zake wa karibu aliniambia nijitahidi kumfahamu kwanza kabla sijaamua kumuoa nadhani alihisi kitu.

Kufahamiana naye kwa muda tukaishia kupata mtoto mmoja wa kike ambaye sasa ana miaka miwili.

Ni mwanamke mzuri sana, ni gumzo kila anapopita au kufanya kazi, hata nilitaka nitoane macho na patina mmoja wa firm yake.

Kwa kweli anaita kila jicho ana mengi mazuri, lakini pia ana mapungufu yaliyonipigisha breki kali juu ya tope.

Kwa sasa anaishi na wazazi wake, lakini mara nyingi saba tunalala kwangu. Nafahamika kwao kama mzazi mwenza, kwetu pia kaskazini wanamtambua.

Amekuwa ni mwepesi sana wa kupata marafiki wa kiume, ana hasira za karibu, kujiachiachia sana kwa wanaume imekuwa sehemu ya maisha yake, yeye anadai si wapenzi wake. Wanataniana tu hii ni moja ya sababu iliyonizuia kumuoa.

Nilihisi kama hajiheshimu.hayuko tayari kuishi kama mke wa mtu nikadhani nimwache kwanza ale maisha wakati nami nakula taratibu ingawa nahofu ya magonjwa.

Simu zake sijawahi ziona hata mara moja zikiita kwa sauti toka nimfahamu.anashinda watsapp 24/7.

Facebook kwake ni kama oxgen, kila siku anaongeza wanaume, viber anatumiwa mioyo na mikisi ya wanaume, linkedin pia hayuko mbali.

Nahisi kweli atakuwa ananipenda, lakini kwa hayo nashindwa kuji commit, ila bahati mbaya nashindwa hata kumuacha, hasa ukizingatia nina mtoto naye.

Yaani sijui nifanyeje, nimbwage.

Naona sio waifu matirio.

Ataniua jamani.
 
The world is yours.

Hata kukosa mapungufu pia ni upungufu.

Kama ukishindwa kutema, basi meza tu.
 
Hapo kwenye rangi akili mkichwa Mkuu, wengine hukufunulia yanayojiri kidogo tu ili utumie akili yako ya kuzaliwa kabla ya kufanya maamuzi yako ya mwisho. Huyu ni rafiki yake ambaye anamfahamu vizuri sana labda kuliko unavyomfahamu wewe. Kila la heri.

huyu dada nimemfahamu miaka mitatu iliyopita. ni mwanasheria kwenye femu fulani jijini dar. nilikuwa nina mpango wa kumuoa haraka,ila mmoja wa marafiki zake wa karibu aliniambia nijitahidi kumfahamu kwanza kabla sijaamua kumuoa. nadhani alihisi kitu.
kufahamiana naye kwa muda tukaishia kupata mtoto mmoja wa kike ambaye sasa ana miaka miwili.
ni mwanamke mzuri sana, ni gumzo kila anapopita au kufanya kazi,hata nilitaka nitoane macho na patina mmoja wa firm yake. kwa kweli anaita kila jicho. ana mengi mazuri, lakini pia ana mapungufu yaliyonipigisha breki kali juu ya tope.
kwa sasa anaishi na wazazi wake, lakini mara nyingi saba tunalala kwangu. nafahamika kwao kama mzazi mwenza, kwetu pia kaskazini wanamtambua.
amekuwa ni mwepesi sana wa kupata marafiki wa kiume, ana hasira za karibu. kujiachiachia sana kwa wanaume imekuwa sehemu ya maisha yake. yeye anadai si wapenzi wake. wanataniana tu.hii ni moja ya sababu iliyonizuia kumuoa.nilihisi kama hajiheshimu.hayuko tayari kuishi kama mke wa mtu.nikadhani nimwache kwanza ale maisha wakati nami nakula taratibu ingawa nahofu ya magonjwa.
Simu zake sijawahi ziona hata mara moja zikiita kwa sauti toka nimfahamu.anashinda watsapp 24/7. facebook kwake ni kama oxgen.kila siku anaongeza wanaume.viber anatumiwa mioyo na mikisi ya wanaume.linkedin pia hayuko mbali.
nahisi kweli atakuwa ananipenda, lakini kwa hayo nashindwa kuji commit. ila bahati mbaya nashindwa hata kumuacha, hasa ukizingatia nina mtoto naye. yaani sijui nifanyeje, nimbwage.naona sio waifu matirio. ataniua jamani.
 
Duh! Mbombo ngafu. Dunia inafanana fanana. Matukio yanajirudia. Hakuna kipya chini ya jua.
 
haya tuambie na mapungufu yako sasa ili tufanye maamuzi magumu.

Atakuwa hajui. Ila nahisi kama mvumilivu kiasi hicho basi atakuwa mtu mzuri. Inahitaji moyo.
 
Hapo kwenye rangi akili mkichwa Mkuu, wengine hukufunulia yanayojiri kidogo tu ili utumie akili yako ya kuzaliwa kabla ya kufanya maamuzi yako ya mwisho. Huyu ni rafiki yake ambaye anamfahamu vizuri sana labda kuliko unavyomfahamu wewe. Kila la heri.
ndio maana nimeamua nisimuoe,japo sijamwambia
 
hayo mbona mapungufu madogo tu na yanarekebishika! sasa utaacha wangapi maana hakuna alokamilika, hata ww utakuwa na mapungufu yako anayoyavumilia, ongeeni bwana nyie watu wazima umueleze yanayokukwaza ajirekebishe,akikuambia hawezi basi akili kumkichwa uamue kuvumilia daima au the opposite
 
Unataka tukupe moyo au tukushauri ? mbona Majibu yote unayo sasa /....Mbuta Nanga !:coffee:
 
niliambiwa nisije nikaingia "porini" bila kujijua kwa kuoa mwanamke mwanaasheria katika maisha yangu.
ANGALIZO; Kua makini sana husijeiona ndoa yko kama tanuru la Moto!!!!
 
hayo mbona mapungufu madogo tu na yanarekebishika! sasa utaacha wangapi maana hakuna alokamilika, hata ww utakuwa na mapungufu yako anayoyavumilia, ongeeni bwana nyie watu wazima umueleze yanayokukwaza ajirekebishe,akikuambia hawezi basi akili kumkichwa uamue kuvumilia daima au the opposite
24/7 kwenye social network, ni kawaida???? au anakuza network??
Nasiku hizi wamewaletea power bank..... kazi ipo.
 
Back
Top Bottom