Kuna faida ya kumgeuka rafiki yako???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna faida ya kumgeuka rafiki yako????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Papizo, Sep 26, 2008.

 1. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Kwanza kabisa mimi ni kaka sio dada naona watu kidogo wamejichanganya hapo chini wanajua mimi ni dada
  Habari za kazi wakubwa na wadogo....Nadhani hii ni sehemu yake ya kuweza kuweka kitu chochote kinacho uhusiana na mapenzi na zaidi.....So mimi nilikuwa na problem moja ambayo sikufurahishwa kabisa na sijapata bado uwamuzi zaidi nini nifanye ili niweze kutuliza akili..First kwanza labda niseme kwamba mimi nina rafiki yangu wa kiume nipo nae karibu sana tena sana nadhani ninachofanya mimi yeye anajua na anachofanya yeye mimi lazima nijuwe yaani ni kidole na pete tuna mahusino ya karibu sana tena sana na wote tumetokea bongo ila tunaishi huku....Sasa tatizo lililopo ni kwamba mimi nina rafiki yangu wa kike((nadhani hapa mmenielewa kuhusu huyu rafiki wa kike))Lakini sasa huyu rafiki yangu hamjui huyu msichana ila ni mimi mwenyewe ndio namfahamu sasa nadhani kwa vile rafiki yangu nikamuamini nikamfahamisha kwa huyo mshichana wakawa wanajuana sasa na mawasiliano ya kawaida yakawa ya hapa na pale na jokes kwa sana......So now nimekuja kugundua huyo rafiki yangu anawasiliano na huyo mshichana kwa njia ya private sometime msn au kwa simu mimi nilikuja kugundua baada ya kuona huyo msichana ameanza kunibadilikia na kibuli sana,Baada ya kuona huyo msichana kanibadilikia na mawasiliano yamepungua kama yalivyokuwa zamani nikaja kugundua kwamba jamaa yangu ndio anachonga nae.Na pia huyo mshikaji kabla hajamfahamu huyo msichana tulikuwa na mawasiliano mazuri sana tena sasa hivi nikimpigia simu saa zingine hapokei na saa zingine anapokea na hata nikimtumia sms kwenye simu hajibu kabisa na wala nikimuuliza kama umepata sms zangu hajibu maana zamani alikuwa ananipigia simu uko wapo kujuliana hali kama hivyo lakini sasa naona jamaa kanibadilikia toka nimfahamishe kwa yule msichana na pia sasa hivi ndio huwa anawasiliana nae masaa 24 kupitia msn na kupigiana simu ila mimi wote sasa hivi hata nikiongea na huyo jamaa na huyo mshichana naona hawanichangamkii kabisa sasa nifanye nini??? kwa hiyo kuwa na rafiki wa karibu anaweza kukugeuzia kibao kukuchukulia mali yako??? au ndio ananiponda sana kwa huyo msichana ili afanikiwe yeye??Nitaomba nieleweshwe jamani nichukue uwamuzi gani maana siamini kabisa kama imekuwa hivi....Naomba msaada wenu ndugu zangu
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu...
  wote watatu - si watu wazuri kwako.Epukana nao wote watakutenda kama bado huoni wamekutenda.
   
 3. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2008
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole Papizo,mkalishe chini huyo rafiki yako wa kiume,muulize anania gani,inawezakana dada hakutaki wewe,na unaumiza roho yako,embu jaribu kumove on ,uangalie kama atakufwatilia,ukiona hivyo,ujue mwanaume hakutaki dada,watch out his ovement,pole sana,no time to waste,me on!!!!!!
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Tatizo lako lingefahamika hata pasipo kutumia bold...
   
 5. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole sana dada, hao wanawake ni manyoka sana. Umenikumbusha na mimi incident moja ilishawahi kunitokea wakati wa usichana wangu. Cha msingi kama alivyotangulia kusema mwenzangu hapo juu. Kaa mbali na hao watu, then jaribu kuona kama huyo kijana atakufata, ukiona kimya ujue ameshatekeka. Inawezekana bado ukawa unampenda sana ila sasa hamna jinsi. Jaribu kumuomba Mungu wako akutolee machungu yote na uendelee na maisha. Jua hata yeye anasababu ya kufanya yote hayo. Maana kila jambo na wakati wake. Kama wamekufungia Mlango, Mungu atakufungulia mingine mingi tuu. Huwezi jua Mungu amekuandalia nini! Those are just parts of life especially in love relationships. The way you sound, u look to be very beatiful and a strong lady. Just take a mirror and look at your self! Don´t u see how beautiful you are, so move on baby girl and take care of your beauty self!!!!!
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mimi ni kaka sio dada LORAIN....Ila pia nashukuru sana kwa msaada wako asante sana na pia itanibidi nichukue maelezo yako niyageuze yawe ya kaka usijali lakini nashukuru sana kwa mtazamo wako na mimi vile vile nimeamua kwamba niwakalie kimya alafu tutaona nini kitachofuta
   
 7. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu kuna sehemu wameandika huruhusiwi kutumia BOLD??Unaweza kunionyesha??Maana sijapaona pia hiyo bold kuna mtu imemsumbua jamani??au ukitumia bold kutaharibika nini hapa Jamiiforums??Tujaribu kusaidiana sio kuleta complain ambazo hazitasaidia kitu chotchote
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Asante sana kwa msaada wako lakini mimi ni KAKA sio dada pia hapo juu kuna watu wawili ambao nimewazunguamzia ni huyo rafiki yangu wakike na pia huyo rafiki yangu wa kiume ambaye namchukulia kama ndugu yangu ndio huyo amenigeuzia kibao kwa rafiki yangu wa kike sasa sijui kama maisha ndio yanakwenda hivi siku hizi
   
 9. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Asante sana mkuu kwa ushauri wako nashukuru sana sasa hapo juu watu ambao nimewazungumzia ni rafiki yangu wa kiume na huyo demu ambaye nimemfahamisha rafiki yangu
   
 10. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ok brother, pole sana, ila kama nilivyokueleza hapo juu. Wewe endelea na shughuli zako za maisha na mkabidhi Mungu yote.
   
 11. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Asante sana Sister kwa ushauri wako wa maana nashukuru sana tena sana....
   
 12. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  bold all the way inaniumiza macho....
   

  Attached Files:

  Last edited: Sep 27, 2008
 13. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Picha hii Kabunango inaelezea yote...
  Papizo... hujaoa, hujachumbia unasubiri nini hapo? mwenye macho haambiwi tazama, hao rafiki zako wanakukosea adabu, anza upya tu...ila usisahau kuongea nao kuwaeleza masikitiko yako na kuwatolea dukuduku lako usije ukawa unaishi na maumivu ya roho wakati wao wanaenjoy tu, wakifikiri "no problem kwanza jamaa hata hajali"
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Shukuru Mungu sana kuwa umemwona chawa wako mapema kabla hujaenda mbali, mshukuru Mungu pia kwa sababu pia umekumbuka kuomba ushauri mapema. Mwombe Mungu akujalie kupokea ushauri huu unaopewa bure na watu ambao saa ingine huwajui na hutakaa uwaone.

  Tahadhali,umesema mko ugenini,achana nao,jipe moyo mkuu utashinda,ukionana nao tabasamu,wasalimie kana kwamba hakuna baya ulilotendewa. Ktk ma-lovee vijana mtaanza kuonyeshana nani zaidi,mwisho utasahau kilichokupeleka huko,kibaya zaidi mtaishia pabaya.

  Utapata mwingine wa kufanana na wewe.
   
 15. B

  Balingilaki Member

  #15
  Sep 27, 2008
  Joined: Aug 2, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo sasa halichokifanya rafiki yako sio kizuri hata kidogo na bado huyo dada ana dhambi kubwa zaid
  swali linabaki je huyo msichana alikuwa anakupenda kweli kwa moyo na roho yake......na je kisa cha kukimbia ni kipi.........je alishawahi kukulalamikia chochote hasa yale yanayofanya mahusiano yakue.........je unamfikiliaje rafiki yako amemrubuni msichana au msichana kamrubuni rafiki yako.........wala usimindi sana kisicho riziki hakiliki
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 17. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Nashukuru sana kwa msaada wako na kuweza kunielewesha zaidi na zaidi asante sana tena sana na nimekuelewa mkuu nitafanya kama unavyosema hivyo
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Asante sana mkuu kwa ushauri wako na mimi ndio nimeamua kuinua mikono na kukaa kama mtua ambaye hajui kitu kinachoendelea nimeamua kuuchuna tu situ sitaki makuu nao....Pia unajuwa roho inaponiuma siyo huyo demu bali rafiki yako anakufanyia hivi sasa hapo kuna uwaminifu gani zaidi???
   
 19. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
   
 20. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Pamoja kaka naona tunaendeleza mada na ushauri kwangu kama kawaida asante sana mkuu na kwa ushauri wako kwa ujumla
   
Loading...