Jameni wanaume muwe na huruma na wake zenu hata mara moja kwa mwaka basi maana kwa mwezi ni ngumu kwenu please.
Yaani wewe ni amri tu utafikiri Kamanda anafanya operation ya kanda maalum jameni...
Nina miaka 37...Hawe ni mwanamke anayejitambua na anajua maana ya maisha anayejali na kutambua umuhimu wa mwenzake katika maisha.
Nina jiheshimu na ningependa Kupata mwanamke wa haina hiyo...
'My father died because of an extra-marital affair' Fela Durotoye shares emotional story
In an emotional interview with Samuel Olatunji of iCampus, motivational speaker, author, CEO of Visible...
Habari wana MMU
Kuna binti niliyetokea kumtongoza kama mwezi mmoja uliopita, katika kufahamiana nikagundua binti huyu alikuwa na mpenzi akaachwa.
Yeye pia aliniambia hilo.
Majuzi alikubali...
Baada ya kuwa JamiiForums kwa takribani miaka mitatu sasa jumlisha na ile ya kusoma soma comments za wadau nimegundua JF inaharibu watu hasa wanawake ambao most of them wako interested na jukwaa...
Habari za Jumapili?
Wengi wetu tumewahi kuona na kusikia matukio mbalimbali ya FUMANIZI zikitokea katika maeneo ya ya bar,guest house/hotel nk lakini wiki chache zilizopita ilitokea funga kazi ya...
Kiumri nakaribia kufikisha miaka 30, ila katika suala la mahusiano sioneshi kupiga hatua yeyote.
Kifupi sijawahi kuwa katika mahusiano yaliyowahi kumaliza angalau miezi 6, nimekuwa nikijiuliza...
Nilokuwa nimesafiri kwenda kijijini kwetu. Mtandao ulikuwa haupatikani. Leo nimeingia kwenye jiji la mihangaiko.
Nadhani mtakumbuka mashariti ya wazazi wa mtoto wa kitusi yalivyo nishinda na...
Wewe, ambae mpaka saa hii (kama una mtoto anasoma) hujui hata kesho ataenda vipi shule au kamaliza homework zake zote for the new week na wala hujui vitabu vyake vina rangi gani, baba ambae hujali...
Kiukweli nimeimisi sana michango ya huyu mwana dada hapa MMU.
Nimmoja wa wana JF ambao nawakubali sana kwenye kutoa nasaha na kuchangia mada mbali mbali hapa jamvini.
Tafadhali popote pale...
Girl: Honey, there's something I
want us to talk about.
It's so serious!
Boy: Please,don't tell me you are
Pregnant!
Girl: Am coming to stay with you because you
know my Mum will be mad at me and...
Wadau, binafsi sijaoa si kwamba sipendi; napenda sana ila kila nikilifikiria napata kigugumizi kulichukulia hatua.
Nafanya kazi kwenye taasisi binafsi, jambo moja huwa linaniumiza sana kwa muda...
uko wapi ubavu?
Mume muislamu,umri wake miaka 30-35.Awe mwajiriwa au shughuri yoyote inayomwingizia kipato,mrefu mwili wa wastan,kabila lolote.
Rangi yeyote ila akuwa mweupe itakuwa vema.AWE NA...
Jamaa yangu kazini leo kaanzisha ligi ati mwanamke haridhiki kabisa hata umfanyieje kwa sababu ameumbiwa tamaa kama baadhi ya vitabu vya dini vinavyosema.
Sasa sijui kama ni kweli, lakini...
Karibuni kinywaji wana Jamiiforums weekend ndo hii baada ya pilikapilika za week basi ni muda wakujipongeza.
Wale waliosema mwanamke akinywa pombe hana mvuto, karibia hapa upate kinywaji.
Mie...
Nimekuwa nikipata fununu kutoka Kwa madereva malori niliyowahi kufanya nao mahojiano na walikiri kuwa kila walipoenda safari iliwalazimu kuchukua wake kila Kituo walipopiga kambi.
Marketers...
Mwanaume wako akiwa na tabia ya kuwasimulia yale yote mfanyayo kitandani marafiki zake hupelekea rafiki yake au marafiki zake kukuona katika namna nyingine na kukushusha thamani.
Mwanaume...
Kama somo linavyojieleza,
Imekuwa ni kawaida sasa watu wa kada mbalimbali walioko kwenye mahusiano,
Kurusha kero wanazokumbana nazo kutoka kwa wenza wao wa jinsia nyingine,
Mara nyingi kero hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.