Nilikutana na msichana mmoja wa kiarabu hivi kutoka Tunisia akasema anaishi dubai kwenye mtandao na mimi siishi bongo.
Naishi bara la Asia. Tukawa tunachati sana na na ikaonesha kama yupo...
Wakuu poleni kwa majukumu, mimi si mwenyeji sana humu ila ndugu yenu nina jambo linanitatiza sana. Niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye nilidumu nae kwa miaka 3 nilimsaidia...
Bandugu hamjambo wajameni.
Hebu someni hili bandiko, na muachane na story za abnuasi. eti marriage is hypocrisy institution.
Being married is nowadays considered to be old-fashioned. Young...
Ni wazi kabisa kwa asilimia kubwa ya wanaume sikuhizi hatutaki kutegemewa kwa kila kitu kwani maisha yamekuwa magumu wakati mwingine unakuta hata sisi wenyewe tunashindwa kujitosheleza kimahitaji...
sipati picha siku wizara ya afya ikitangaza kua tumefanikiwa kutokomeza kabisa gonjwa la ukimwi.
Ambalo lilikua linaleta fitina kwenye mapenzi ya watu.
Binafsi nitafanya sherehe kubwa kwa...
Habari zenu wanajamvi, kuna rafiki yangu kaniomba ushauri nimeshindwa nimshauri vipi kuhusu tatizo lake, naomba tushirikiane kumshauri, yeye pia yumo humu anasoma ushauri wenu.
Yeye aliolewa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wazi.
Kwa jina naitwa Milembe Anthony-24 yrs.
Pia ni mawanafunzi wa shahada ya kwanza katika elimu na utawala chuo kikuu cha mzumbe kampasi kuu Morogoro...
Moja ya kikwazo cha vijana wengi wenye nia ya kuoa, kutofanya hivyo ni suala la mahari, ambayo sehemu nyingi inachezea kwenye milioni mbili na ushehe hivi.
Ninapendekeza kuwepo na mbadala wa...
Mapenzi Yakinoga
Jamani usiombe mapenzi yakakunogea utatamani ugandane na mpenzi wako kila mahala.
Katika kona kona za mapenzi mapenzi leo nimekuta na hii kitu.
Mara nyingi watu wanapokuwa...
Digitari imerahisisha sana maisha, hata mapenzi wakuu yapo ya kidigitari. Zile habari za analogia mwanamke unamtongoza leo kula issue mwakani hazipo tena.
Leo ukijisikia una hamu ya kungonoko...
Kuna mdada mmoja anasema amefungwa na mama yake wa kambo ili asiolewe wala asizae. sasa najiuliza kuna mambo kama haya kweli au yeye atakuwa anajistukia tu.
Habari zenu wanajamvi ?
Natumaini mu wazima kabisa, so kama mada tajwa hapo juu ni kwamba vijana wengi wameipotezea katiba yetu kiasi cha kufanya maccm yaandae kwa matumbo yao kwa kupunguza na...
Habari wana Jf.?
Enyi wanawake mliowapa na mnatazamia kuwapa wanaume wenu limbwata...
Inakuweje unampa limbwata mume wako hadi limbwata ya kutowapenda na kuwasaidia ndugu zake hata wazazi wake...
Meet Dale Decker, the man who has 100 orgasms each day - but does not enjoy a single one.
Dale is trapped in his own home by Persistent Genital Arousal Syndrome - which he developed in September...
Wadau kwa mtizamo wangu badhani michepuko haiwezi kwisha kwakuwa ni ukweli ulio wazi kuwa mapenzi ya wizi ni matamu kuliko mapenzi ya kawaida,,unaweza kuwa unapewa kila kitu na mumeo au mkeo...
Kwakuwa mmeamua kuwa pamoja na kushirikiana kuwa mme na mke.
Na kwakuwa mmeamua kuanzisha familia yenye watu waliona tabia tofauti tofauti
Sasa basi Mwanaume ndio atakuwa kichwa cha nyumba na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.