Habari zenu wana JF!!
Ni wiki 2 sasa zimepita baada ya kutokea kisa kitaani kwetu kilichokuwa kama movie flani hivi lakini ni cha kweli. Jamaa wa kitaani kwetu aliamua KUOA na kufuata taratibu...
Wakuu ni kitambo sijaandika kitu humu, ïla napenda nishare na nyie jambo moja.
Kifupi nina mchumba.Ni mwezi mmoja sasa umepita toka nimfahamu baba mmoja (miaka kama 57au 60 au zaid) ni mtu mzima...
Habari wana ukumbi, naomba tupeane mawazo na ushauri juu ya hili, simu ya mpenzi nimeidivert na call recordings akashtuka sasa majuzi nimebamba na simu nyengine na line nyengine ambayo hutumika...
KITANDA CHA MPANGAJI MWENZANGU-1
Samahani anti, unaweza kuniazima fagio kama unalo?
Sawa anko, ngoja nikuletee.
Baada ya dakika moja mlangoni
Ngoo ngoo ngooo.
Ooo, asante anti...
Utamu wa maisha ni pale unapojua kuwa unahitaji maisha ya aina fulani.
Japokuwa tunaumizana kila siku hiyo haipunguzi wingi wa harusi kila uchao kwenye majumba ya ibada na serikalini.
Nami leo...
Wakuu nimepata msg kwamba inatakiwa mchango wa wana jf wa dar kwenda serena.huko serena kwenda kufanya nini? Na je ni kweli jambo hili mnalifahamu? Nilikuwa banned mda mrefu sana na je unapotuma...
Jaman jumapili hii inaniendea vibaya,kila mchepuko uko na mmiliki.sidhani Kama patakucha jamani ambae yuko lonely ntamgharamia kila kitu mpaka asubuhi ni pm. halloooo any one there.....
Naamini weekend inaenda poa.
Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki yangu aliyekuja na gari...
Napenda kuuliza kwa wadau, mimi mke wangu tumejipangia kuonana maramoja kwa mwezi alakini ikifika siku yiyo mke wangu anatafuta visababu vyakutoonana nae kwa mfano: eti hajisikii kuwa na hamu na...
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa mda wa mwaka moja sasa, kuna jamaa wake wa kipindi cha nyuma ambaye walikua naye kwenye mahusiano ana mdogo wake tunafanya nae kazi ofsi moja sasa...
1. FORGIVING
Forgiveness is on of the hardest thing in a relationship but If a woman has a forgiving heart he will understand that men make mistakes or even repeat same mistake but that doesnt...
Mimi nikijana niliyejiajilia natafuta mwanamke aliyetayari kuishi na mimi katika shida na raha umri kuanzia miaka 18 na kuendelea awe na elimu kuanzia kidato cha nne aliye tayari anipm.
Ndugu zangu hili swala sio la mzaha hata kidogo.
Kuna mama mmoja jirani yangu, mwingine yupo Mwanza mke wa rafiki yangu wa karibu mno (sina urafiki wa kugeuka na kunyemelea mke wa rafiki/jirani)...
Ndugu wana JF naomba mawazo yenu katika jambo hili. Katika hali ya kawaida na kwa nia njema ni sahihi
mume kuhifadhi nambari ya Simu ya msichana wa kazi anayeishi nae kwenye nyumba yake?
Kuna binti mmoja umri miaka 23 sasa ni miezi mitatu tangu nimtokee cha kushangaza hajaniomba hata mia tano ya vocha na ni mwanafunzi sasa nimueleweje maana kwangu imekuwa kama muujiza, hao...
Hivi inakuwaje umepata msichana ambaye hamna muda mrefu kama wapenzi na haujawahi kumwomba tunda.
Lakini kila ikitokea labda mmekwaruzana kidogo anajitetea kuwa anabehave tofauti kwa sababu...
Wedding ceremony can be compared to the death of a person.when a person dies others prepare the funeral ceremony for him. The relatives and community decides and arrange the type of burial that is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.