Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Wakuu nimepata msg kwamba inatakiwa mchango wa wana jf wa dar kwenda serena.huko serena kwenda kufanya nini? Na je ni kweli jambo hili mnalifahamu? Nilikuwa banned mda mrefu sana na je unapotuma hiyo pesa wanajuaje kwamba ni ya Albosignathus?