Habari wana ukumbi, naomba tupeane mawazo na ushauri juu ya hili, simu ya mpenzi nimeidivert na call recordings akashtuka sasa majuzi nimebamba na simu nyengine na line nyengine ambayo hutumika mimi nikiwa sipo, anasema ni ya mazingumzo ya siri kati yake na familia yake. Tupeane ushauri mimi limeniumiza kichwa