mwanza yote yangu
Senior Member
- Aug 28, 2014
- 141
- 30
Jaman jumapili hii inaniendea vibaya,kila mchepuko uko na mmiliki.sidhani Kama patakucha jamani ambae yuko lonely ntamgharamia kila kitu mpaka asubuhi ni pm. halloooo any one there.....
Hahahahaha...poor thing...mwanza hii hii mtu awe lonely sio kawaida
Yamenikuta wangu.sijui pata kucha hebu njoo pm tuongee
Sitaki wa villa nimeshawachoka nataka wa ndani mpaka asubuhi alafu asepe,kama kuna unaemjua malimbe unganisha nyaya nkamalize wanguNenda villa mkuu au malimbe huwez kosa totoz kwa leo
Sitaki wa villa nimeshawachoka nataka wa ndani mpaka asubuhi alafu asepe,kama kuna unaemjua malimbe unganisha nyaya nkamalize wangu
Hahahahaha...poor thing...mwanza hii hii mtu awe lonely sio kawaida
Mbona na mimi sina?
Hahaha..aisee weka no yako huko pm
Njoo pm bana tuweke mambo sawa,unambie nikufate wapi tule ujana asubuhi kazini Kama kawaida
Hahaha..Baba paroko vatcan wameshatoa ruhusa??😕😕
Picha yako, tafadhali![/
Nipe namba yako nikurushie whatsup
Picha yako, tafadhali!
Siku nyingi sana na nipo huku Buzuruga naangalia kama naweza kupata ....lol!!
Hahaha...tatizo wewe na mwanza yote yangu site mnazovizia sio ndo maana mpo lonely..sasa buzuruga...daah hahah...hebu nendeni jembe ni jembe basi😉