kagoma laurent
New Member
- Oct 7, 2014
- 1
- 0
Napenda kuuliza kwa wadau, mimi mke wangu tumejipangia kuonana maramoja kwa mwezi alakini ikifika siku yiyo mke wangu anatafuta visababu vyakutoonana nae kwa mfano: eti hajisikii kuwa na hamu na mwngine, je tatizo ni nini? Naomba ushauri kwa wadau.