Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Dec 5, 2011.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF!!

  Ni wiki 2 sasa zimepita baada ya kutokea kisa kitaani kwetu kilichokuwa kama movie flani hivi lakini ni cha kweli. Jamaa wa kitaani kwetu aliamua KUOA na kufuata taratibu zote; KUCHUMBIA,KUTOA MAHARI, SEND OFF na mwisho HARUSI iliyofaana sana.

  Baada ya harusi MUME an MKE wakaenda HONEY MOON ili kukamilisha ndoa kwa lile tendo lenyewe lakini Bi HARUSI akagoma sababu alikuwa amechoka sana na mishe za Harusi toka asubuhi, Bw Harusi akawa mwelewa coz anajua mali ni ya kwake siku zote na kuvumilia hadi asbh.

  Kumekucha Bi. Harusi akaenda kuoga then Bw. Harusi akafuatia kwenda bafuni, alipotoka kuoga akamkuta mkewe keshavaa na kupendeza. Akamwambia mumewe kuwa anaenda hapo supermarket kuchukua Dawa ya meno ndo HAKURUDI TENA.

  Baada ya uchunguzi wa Usalama wa Taifa na police wakaenda kumpata Tabora na huyo mchumba mpya aliyemtorosha na kumuoa badala ya MUME wa ndoa!!! hivi sasa wamekamatwa na Police inasubiliwa Bw.Harusi aamue nini cha kufanya!!

  Ingekuwa wewe ungeamua nini????!!!!! Toa maoni. Ahsanteni mimi nilikuwa best man kwenye SEND_OFF nmeombwa ushauri.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ningekuwa bwana harusi ningesema Duh!
   
 3. g

  gnasha Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda nikuulize swali moja, je huyo binti alilazimishwa kuolewa?
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Akubali tu yaishe
  dah kweli wanawake wakiwezeshwa wanaweza loh
   
 5. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,081
  Likes Received: 491
  Trophy Points: 180
  Keshachafuka hapo ni talaka tu basi no more!!!!!!!!!
   
 6. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakulazimishwa tena ni mtoto wa MCHUNGAJI kanisa moja la TAG!!
  Siku ya SEND-OFF mimi nilikuwa shahidi walikuwa wanaonesha wanapendana sana hakukuwa na tofauti yoyote!!
  Mchungaji naye alisema aliwaita ofsini kwake b4 uchumba na kuwauliza mara nyingi sana kama kweli wameamua kuoana!!!
  Walipeana mabusu mengi mbele ya mchungaji!!!!!!


   
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  inabidi bwana harusi akubali tu matokeo ingawa inauma.....
   
 8. r

  rwazi JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ningedai kurudishiwa garama za harusi basi huyo hawezi kuwa mke mwaminifutena na anaweza kukuuwa
   
 9. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vipi COST za harusi mheshimiwa???!!!! Pia kudhalilishwa jamaa???

   
 10. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  inategemea na "kilichomkuta alipoenda supermarket kununua coligeti ya kusafishia meno"...inawezekana ALITEKWA NYARA NA KUPELEKWA KUSIKOJULIKANA NA WASIOJULIKANA ....

  pia inawezekana bi-harusi ana matatizo ya akili thats y alifanya kituko cha karne ijayo kwa tanzania ila kwa wenetu kina kim kardashian ni simpo tuuu....
   
 11. p

  pansophy JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Namlipisha mgoni gharama zote za harusi, mahali na usumbufu then navunja ndoa.
  Kwa anayefahamu sheria ya makosa ya kujaamiiana inasemaje?
   
 12. h

  hayaka JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yawezekana demu alifanya hivi kulipiza kisasi labda kuna mistake jamaa alimfanyia wakiwa wachumba.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Awalipishe gharama zakealafu aachane nao maana hawana maana.
   
 14. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Namla kameruni huyo mwizi! Alafu nasmash 'golori' zake, **** kabisa :angry:
   
 15. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 855
  Likes Received: 658
  Trophy Points: 180
  Correction: Ni wa kanisa la EAGT..I know the girl toka
  mdogo, hakilazimishwa kabisa.

   
 16. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ILa bibi harusi noma sana, asingesubiri kupanda madhabahuni.

  Hata gaharama zikirudishwa, huyo mgoni wa pili atakuwa ameoa mke wa mtu!
   
 17. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hahaha :lol:
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Bibi harusi ni muuaji huyo!

  Hata kama ana sababu...hawezi kumshawishi mtu kwamba ilikuwa fair kulipiza kisasi namna hiyo!

  Jamaa apige moyo konde na kuanza mchakato upya....Sheria imsaidie kupata haki yake ya talaka. Vinginevyo ataendelea kujulikana kama mume halali wa huyo mwanamke!
   
 19. RR

  RR JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Asee....
  Hapa ni jinsi gani ya kumwacha huyo 'mke'.......
  na kufutilia mbali hiyo 'ndoa'....
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Asipochafuka atajifunzaje - (Source-Tangazo la OMO)

   
Loading...