natafuta rafiki wa kike ambaye tuje tuwe wanandoa,napatikana mwanza,ni muajiriwa serikalini na cjawahi kuoa wala sina mtoto
sifa za ninae mtafuta
-age 18-21
-maji ya kunde
-mrefu
-mnene...
Kitendo cha kuwaamini boda boda kwa wake zetu na kuwapa ruhusa kwenda majumbani kuwachukua wake zetu na kuwapeleka sehemu yeyote.
Inabidi tuwe makini kwani kuna jamaa hapa mtaani kwetu...
Natafta mpenz wa kuwa nae,awe mwanamke,awe si super staa,pia awe na tabia nzur na asiwe tapel kwan cpendi kuumizwa.Napendelea wa umbo lolote,nko arusha!,anaweza kuweka namba hapa ntamcheki!
Jamaa mmoja jirani yangu ni msaf sana hadi mchumba wake waliotarajia kufunga ndoa december kasepa
1.chumba kinadekiwa karibu mara 20 kwa siku
2.akiingiia mgeni yeyote hata aliyekua mchumba ake...
Kijana mmoja mkazi wa Kimandolu jijini Arusha, Paulo Simon (18) amelazwa hospitali ya mkoa Mount Meru, baada ya kubakwa na kisha kukatwa ulimi na mwanamke mmoja aliyekuwa akimtaka kimapenzi...
Warembo fursa hii hapa natafuta mchumba umri usizidi miaka 30 uwe
mkwel ,mrembo / black beaty,mchapakazi ,elimu / willing to lean nd relocate to where im living ( uganda )
*sifa zangu elimu...
Ni kipindi kimoja cha radio ambayo iko mwanza, kipindi hiki kinahusu maswala ya mtu kutuma namba zake na kurushwa kwa wasikikaji kwa ajili ya kujipatia maarifiki.
rafiki yangu alibahatika...
je nguvu za kiume zinapimwa vp?ni pale mwanaume anpokojoa magoli mengi au pale mwanaume anapoweza kukaa zaidi ya dak45 bila kukojoa ili mpenzi wa kike nae aweze kufaidi??
naweka jamvini.......
Ni rahisi sana kuchunguza tabia za wengine na ukatoa maoni yako juu ya jinsi uwaonavyo, si mara nyingi mtu kujishughulisha kujijua binafsi ana tabia gani hasa upande wa mahusiano.
Nimeona leo...
1.WASUKUMA:
Hawa ni madem tuseme tu blackbeauty yaani mademu wana ngozi smooth ya kupendeza sana lakini niweusi kama mkaa but mimi huwapendea one thing. Demu msukuma akikupenda amekupenda for real...
Hii imekuwa ikitokezea sana unapomshirikisha suala la kusaidia ndugu wa upande wa mwanaume huchukia?
yaani siku utamshirikisha mke ndugu yako kakuambia tatizo unafikiria kusaidia yeye ataibua...
Katika uchunguzi mdogo niloufanya kwa wanawake 75 na wanaumme 75 kwa maeneo ya taasisi kadhaa.
Nimegudua kuwa 5.25% ya wanawake hawana maamuzi katika kutumia condom,jukumu la kutumia/kuichunguza...
KURINGARINGA KUNAVYOWAPONZA MABINTI.
Kuringa kwa wasichana wa kibongo ni athari za malezi. Ulaya mtoto wa kike na kiume wanakua pamoja.. wanahug, wanakiss, wananasex but responsibly.. coz...
Kigoma:Mmea ambao ni siri ya wanaume
Waswahili husema mtu hasahau asili. Barani Afrika kuna mimea mbalimbali ambayo bado inatumika kwa ajili ya matibabu, licha ya mingine mingi utumika kama...
Mambo zenyu wadau? Kiukweli madada sometime maamuzi yenu mnayochukua sio sahihi. Mpenzi wako kama kakusaliti na wewe msaliti sio unachukua Kisu na kujitoboa bana na kuwapa mtihani wazazi wenu...
Wadau pale simu yako inapoita ambapo unakuta uko na girlfriend or mke karibu halafu unasita kupokea na ukipokea unaongea maneno nusu nusu kwa uwoga huku sauti inayosikika kwenye simu ni ya...
Saa kumi na moja jana jioni nilimwacha Ubungo nikaenda Mwenge, kisha kutoka Mwenge nikafika Tabata tunapoishi saa tatu.
Yeye kuanzia saa kumi na moja toka Ubungo kwenda Tabata mpaka sasa saa saba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.