Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uwe Maeneo ya Morogoro mimi sijawahi kuoa. Ni PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawaomba wenye mawazo ya busara na wanipe ushauri.mke wangu ni mfanyakazi wa serikalini katika mikoa ya kaskazini na mimi niko mko mwingine huwa nina tabia ya kumtembelea marakwamara ila tatizo...
0 Reactions
87 Replies
13K Views
Hii ni maalumu kwa wale ambao wana tafuta wake/mchumba humu MMU Pengine ni vizuri kuwa wawazi zaidi kama Manka hapo chini
0 Reactions
6 Replies
979 Views
Mmeishi na mmeo miaka mingi ya ndoa kukiwa na ups and down za hapa na pale lakini maisha yanaenda. Siku moja unatumia Computer ya mmeo unakuta kapiga picha wanakiss na mwanamke ,zingine...
1 Reactions
63 Replies
6K Views
Ni matumaini yangu mu-wazima nyoote kwa pamoja. Mimi ni kijana aged 28 years old na pia ni degree holder being attached at somewhere kimajukumu. Lengo mahsusi la uandishi huu ni kutafuta mchumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Angalizo kwa Mods...... Iwapo hii mada ilishawahi kujadiliwa humu ruksa kuunganisha. Kuna imani ambazo watu wengi wanaziamini, kama hizi...... Iwapo baba/mama amefariki huwa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Tunatoa hudumu kwa wale wanaohisi wapenzi wao si waaminifu na wanataka wapate uhakika juu ya hisia zao. Huduma ni ya siri sana na Phase 1 inachukua wiki moja ambapo unapewa taarifa ya awali na...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wana MMU jamani eeee kuna elimu juu ya swala la usafi kuzingatiwa kabla ya kugegedana...ili jambo limesisitizwa sana na humu jukwaani ila hivi majuzi limenikuta baada ya kuona km kawaida...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Poleni na majukumu ya kila leo mashostito pale tunapokuwa na jambo lazima kushare pamoja Leo nina jambo kidogo la kushare kwa sisi ambao tunashikilia Gurudumu la ndoa mambo machache ya...
19 Reactions
85 Replies
10K Views
Hope u all fine. Jaman wana MMU yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Nyerere day kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna cousin yang ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye...
1 Reactions
182 Replies
24K Views
Habari za saa hizi waungwana. Tuanze na kama title ya uzi huu inavyowakilisha.Cyberbullying ni nini?Kama tunavyojua kuna wambea,wasengenyaji,wazushi na wanafiki kwenye kila jamii...
9 Reactions
214 Replies
17K Views
Habari za hapa wadau? Wadau nimekua mzito sana kusex na mke wa mtu. nikitambua tu ke nnaye date naye ni mke wa mtu namuacha na akijaribu kunifata fata anaweza akaniona fyonso! maana mineno...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Habari wadau. Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta...
2 Reactions
108 Replies
13K Views
Historia ipo na ndio maana kuna makumbusho ambapo watu uenda pale kufahamishwa kuhusu mambo mbali mbali ya vipindi vya zama za kale, kati na zama za mwisho. Leo katika historia sio mbaya tukipena...
0 Reactions
96 Replies
12K Views
^^ Wahenga wanao usemi usemao "Kumcha Mungu si kilemba cheupe" Wakiwa na maana kuwa haitoshi kwa mwanadamu kujionesha onesha tu kwa watu kwamba ye ni mcha Mungu bali matendo yake yatosha kabisa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Jana ndio ilikuwa siku ya Tamasha tunaloweza sema huwenda ndo kubwa kwa sasa nchini Tanzania kwa Burudani ambalo lilikuwa likifanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es salaam. Nikiwa...
0 Reactions
95 Replies
11K Views
Sina nia ya kuwasakama dada zetu ila ndoa nyingi za kitanzania (kiafrika) siku hizi zinayumba lakini sababu kubwa ni kwamba sisi wanaume tunawadekeza sana wanawake sijui tamthilia na movie za...
12 Reactions
212 Replies
16K Views
Back
Top Bottom