Kituko cha mchana wa leo

Kituko cha mchana wa leo

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Naamini weekend inaenda poa.

Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi? jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.

Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.

Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??

Mchana mwema.!
 
Unamwacha rafiki yako anaingia kwenye mtego wa jambazi kirahisi hivo!
Naamini weekend inapenda poa.

du kweli hicho ni kituko...labda walikuwa washaagana na jamaa yake
 
Subiri kesho ukamuokote akiwa narehemu na gari hakuna. Mtu na akili zako unampa lift mtu humfahamu miaka ya leo. Wanawake wanatumika sana kwa ujambazi. Mpigie simu haraka mtafute rafikiyo.
 
sio wote tunaoshobokea vimagari wala hatunaga hiyo tabia ni baadhi tu wanakuwa na ulimbukeni wa vifaa hivyo
kwani kama uantaka gari si utafute kwa jasho lako sio kuparamia watu usiowajua besti

basi tu ni ulimbukeni unawasumbua baadhi ya wanawake wenzetu wakitulia na kutafuta watakuwa nayo kwani gari nini basi mpaka ushindwe kulinunua hata vitz lako?

hiyo ni lout na ulimbukeni tu

Nitamtafuta kesho anipe mrejesho ila sina shaka naye,huyo mwanamke mwenyewe umbo la kimiss,na rafiki yangu ni mtoto wa mjini na ameshaishi nchi kibao so aina nyingi za uhuni na umafia anazijua.

Subiri kesho ukamuokote akiwa narehemu na gari hakuna. Mtu na akili zako unampa lift mtu humfahamu miaka ya leo. Wanawake wanatumika sana kwa ujambazi. Mpigie simu haraka mtafute rafikiyo.
 
imenibidi nikopi hii signature yako kulingana na thread hiyo hapo juu

"Hakuna amri ngumu kama Upendo" Siku hizi Kumejaa Upendo FEKI.
 
Mshukuru Mungu kwa kujitambua,ila bado ni tatizo kwa wanawake wengi,mimi huwa inafika mahali nataka kuamini kuwa kwenye magari kuna madini yanayovutana na mwili wa mwanamke,kama sumaku na chuma.

sio wote tunaoshobokea vimagari wala hatunaga hiyo tabia ni baadhi tu wanakuwa na ulimbukeni wa vifaa hivyo
kwani kama uantaka gari si utafute kwa jasho lako sio kuparamia watu usiowajua besti

basi tu ni ulimbukeni unawasumbua baadhi ya wanawake wenzetu wakitulia na kutafuta watakuwa nayo kwani gari nini basi mpaka ushindwe kulinunua hata vitz lako?

hiyo ni lout na ulimbukeni tu
 
Naamini weekend inapenda poa.

Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi? jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.

Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.

Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??

Mchana mwema.!

Ndio maana watu wa dizaini yako wanalizwa na kuuawa kila siku kwa kudhani kila mwanamke anashobokea gari. Usione watu wanapunga upepo mahotelini ukadhani wamekuja kula starehe, wengine wapo kazini ili kuwanasa watu kama wewe msiofikiria mbali. Hivi katika hali ya kawaida hata hushtuki kuona mwanaume wa huyo mdada anamwachia kirahisi mwanamke wake akaondoke na mtu asiyejuana naye?
 
Kimsingi rafiki yangu atakuwa ameamua kumsaidia kama lift,sina hakika kama yeye anawaza kitu kingine.Wanaume tumeumbiwa mioyo ya ukarimu.Ingekuwa wewe ungekataa kumpa lifti?

Wanaume wengne kwa udhaifu mnatia aibu.
Kwahyo nayeye rafki yako kabaki anakenua tu anadhan amependwa kumbe alam znasoma
 
Nasubiria mrejesho wa hii habari lakini nakushauri umtext jamaa kwamba awe makini sana.

Wanawake wamekuwa chambo kwenye matukio ya uharifu.
 
Huyo jamaa na huyo mwanamke niliwaona hata jana nilipotembelea hotelini hapo,wamechukua chumba hapo na si mara ya kwanza mimi kumuona jamaa yake hotelini hapo. Ila asante kwa ushauri wako.Well noted.!

Ndio maana watu wa dizaini yako wanalizwa na kuuawa kila siku kwa kudhani kila mwanamke anashobokea gari. Usione watu wanapunga upepo mahotelini ukadhani wamekuja kula starehe, wengine wapo kazini ili kuwanasa watu kama wewe msiofikiria mbali. Hivi katika hali ya kawaida hata hushtuki kuona mwanaume wa huyo mdada anamwachia kirahisi mwanamke wake akaondoke na mtu asiyejuana naye?
 
Mshukuru Mungu kwa kujitambua,ila bado ni tatizo kwa wanawake wengi,mimi huwa inafika mahali nataka kuamini kuwa kwenye magari kuna madini yanayovutana na mwili wa mwanamke,kama sumaku na chuma.

'I need a car with a pussy magnet' by Sacha Cohen(Borat)
 
Haya tukuulize rafiki yako ana gari gani hilo la kushobokewa?
 
Back
Top Bottom